Hasara ninayoipata kwa kutumia mtandao wa tigo

Mmhh tigo ni kwi kwi hata huku kwetu kundusi bar zipo full lakini no connection, nilijua kwa kuwa huku ni mbwinde sigimbi.
 
1. Credibility, watu wanaonidai na wale wanaohitaji msaada wangu wanaona kuwa nimewazimia simu kukwepa kutimiza wajibu. Ukweli ni kwamba connection hamna, network kwenye screen inaonekana iko full loaded, lakini ukipigiwa simu hupatikani.

2. Gharama, inanibidi niwatatafute wateja wangu kwa kutumia landline, kitu ambacho ni gharama sana kupiga simu kutoka land line kwenda kwenye mobile.

3. Inakasirisha na kupandisha hasira, najikuta nimenuna kama nimepigwa ngumi kumbe ni kero na uzia wa watu wa tigo na limtandao lao.

4. Utapeli, waha watu wa tigo ukiingiza vocha zinaingia vizuri tu, lakini hupati huduma uliyoikusudia.

cha kusikitisha kabisa menejimenti y a tigo imekaa kimyaaaaa, wala haisemi ni lini mtandao utatengemaa, na wala haiombi radhi wateja wake.
Hebu ngoja nihamie zangu SASATEL, nikayaone maisha kwenye mwanga bora

mkuu nikweli kunawakati tgo wanakuwa na tatizo ila kwalako linaonyesha ni sugu ushauri usikute cm yako ni kmeo pia kama utojali taja aina ya cm unayotumia au ni pm ila ushauri wa bure jaribu kuizima cm yako na kuwasha tena unapogundua network zipo full ila upatikani sawa mkuu
 
Back
Top Bottom