Hasara kuu ya kupenda ngono kupitiliza

Haha haha[quoter's="Suriya, post: 31266085, member: 293931"]
Nakataa usemacho mkuu.
Usiposema la moyoni kwa humu JF basi wew ni comedian.
[/QUOTE]
 
Siyo kila unachokiona au kukisoma kwenye social media basi ni kweli watu hufanya...

Wengine wanachangamsha jukwaa...

Cc: mahondaw
 
Ni utafiti..
Usinimbie niliufanyia wapi ila moja ya vyanzo vyangi ni hapa hapa JF, Hata kama tinatimia ID fake ila mara nyingi vile ambavyo tunaviwasilisha ndiyo huakisi maisha yetu halisi

Moja ya hasara kuu ya kupenda ngono kupitiliza ni kupungukiwa uwezo wa kufikiri na kuamua mambo kwa nyakati sahihi, pia kupambanu lipi zuri na lipi baya, lipi linafaa kwa wakati huu lipi halifai. Mtu anayependa ngono mno anakuwa hajui mustakabali wake wa kesho nje ya ngono, hana uwelekeo mzuri hata kwenye kujenga hoja na ile tija.

Mfano mdogo hapa hapa JF kuna ID ukifuatilia mawazo yao utaona kabisa wana ugonjwa wa UEKI ( Ukosefu wa Kujitambua Kichwani) na mmojawapo ni huyu bwana mdogo anayeitwa kenny trump. Kila napojaribu kufatilia mawazo yake naona yamejaaupuuzi na hayabadiliki na hadhi anyoionesha humu ni kuwa yeye ni mpenda ngono sanakwa kuwa kila uzi atakaoleta lazima uhusu manzi mpya ambaye kafanya nae ngono ma anamlalamikia kwa jambo fulani

Jamani fanyeni ngono kwa kiasi na kwa mtu mmoja,huku tunapoelekea mtakuwa machizi maana akili zinawapungua kwa kuwa mnamwagiwa radhi au laana na watu wengi

Sijui umejuaje anafanya ngono kupita kiasi!

I wonder kama ulishaenda chumbani kwake!

Its funny these days mtu anauwezo wa kumpima mtu clinically online na kujua matatizo yake in real world!

I see!
 
Ni utafiti..
Usinimbie niliufanyia wapi ila moja ya vyanzo vyangi ni hapa hapa JF, Hata kama tinatimia ID fake ila mara nyingi vile ambavyo tunaviwasilisha ndiyo huakisi maisha yetu halisi

Moja ya hasara kuu ya kupenda ngono kupitiliza ni kupungukiwa uwezo wa kufikiri na kuamua mambo kwa nyakati sahihi, pia kupambanu lipi zuri na lipi baya, lipi linafaa kwa wakati huu lipi halifai. Mtu anayependa ngono mno anakuwa hajui mustakabali wake wa kesho nje ya ngono, hana uwelekeo mzuri hata kwenye kujenga hoja na ile tija.

Mfano mdogo hapa hapa JF kuna ID ukifuatilia mawazo yao utaona kabisa wana ugonjwa wa UEKI ( Ukosefu wa Kujitambua Kichwani) na mmojawapo ni huyu bwana mdogo anayeitwa kenny trump. Kila napojaribu kufatilia mawazo yake naona yamejaaupuuzi na hayabadiliki na hadhi anyoionesha humu ni kuwa yeye ni mpenda ngono sanakwa kuwa kila uzi atakaoleta lazima uhusu manzi mpya ambaye kafanya nae ngono ma anamlalamikia kwa jambo fulani

Jamani fanyeni ngono kwa kiasi na kwa mtu mmoja,huku tunapoelekea mtakuwa machizi maana akili zinawapungua kwa kuwa mnamwagiwa radhi au laana na watu wengi
kwani nani alikuita kuja kusoma post zake kama na wewe hazikuvutii halafu umefuata nini kwenye jukwaa la matusi na ushapewa notice kabsa :mad::mad::mad:
 
nadhani ulichokomenti ni tofauti kilichoandikwa
 
kwani kupenda ngono kuna matatizo gani.............................na wewe ulichosema pia hakieleweki kwa mtu anayependa ngono
samahani mkuu
ila unaonekana una matatizo ya kisaikolojia
 
Mkuu mbona unapenda kutoa statement ambazo wataalamu wenye vyeti na vipimo vyao ndio wanaruhusiwa kusema?

Ana matatizo ya kisaikolojia,ulimpima labda ukapata majibu ya kitaalamu au ni rhetoric tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom