Harusi za Wasomali ni nusu vita

Duh! Mwaliko wa harusi kama hii wala sihangaiki nao.
View attachment 1715207

Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.

Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.

Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani wakakimbie na hawana hamu Tena ya kurudi Somalia.
 
mtoto akizaliwa badala ya kupewa kitoy cha gari achezee anapewa gobolee
 
Niambie mjuba,hii hata hapo wakei ipogi hii,iko maeneo inaitwaga samburu huko njia ya kuelekea sehemu moja inaitwaga mararai iko kabila moko ianitwa pokot,unakutana na dogo anachunga mangishu anae AK47,yani kwao ni kama fimbo wanayotumia machali wakiwa machungani hapo oldonyo.

Na ukitaka kuoa hiyo ndo manzi Wa kupita nae hivi chalii yanguu.
kiruu sasa ukiwa na manzi dizaini hiyo ukaipea ukuni haijaridhika ikamaindi kiwaki et umeichafua si utakula six inch bullet bwashee,hapo sasa kuioa hiyo ni Ku dig graveyard yakujizika mwenyewe?
 
View attachment 1715207

Maisha ya Wasomali yamejaa mikiki miki mingi tangu kuzaliwa hadi kifo. Ni watu wasioijua amani, na huenda wala hawaipendi.

Wamezaliwa na bunduki na wanakuta nazo. Misibani wanafyatua marisasi na harusini pia.

Wasomali ndio wababe wa Kiafrika, hawa walilishinda Jeshi la Marekani hadi Wamarekani wakakimbie na hawana hamu Tena ya kurudi Somalia.
Duuh
 
Sisi kwetu muoaji unapelekwa kwa chifu unavuliwa nguo alafu unamwagiwa maji ya baridi (kama yale yanayoanza kuganda)alafu mwanamke wako analetwa anaambiwa akuchezee dushe ndani ya sekunde 12 lisipoamka my braza mke hupewi unaambiwa mizimu imekataa
Hahahahahahaha duuh 😂😂😂
 
Yeah kuna BFA za aina nyingi zinawekwa mbele hata huwezi kujua na hizo nyingi zina tumiwa na waigizaji huwezi kujua kwamba silaha imefungwa ADAPTER.

View attachment 1715883
Chief bado unaendelea kujibizana na mtu hata asie na uelewa? Achana nae! Kama mtu haelewi hata gas chamber inavyofanya kazi ataelewa kweli kuwa AK 47 haiwezi kupiga blanks mfululizo kweli? Achana nae!
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Mkuu nimeskia eti si halali kuishi na mwanamke wa kisomali au kumuoa ni kosa kwa sheria yao huko kama wewe sio msomali wakikumata wanakuua,
 
Hata Tanzania kuna wasomali tele,mikoa ya kanda ya ziwa wasomali wengi tu.Zamani walikuwa wanamiliki FIAT lorry. Unakuta kasomali kembamba kanagombana na usukani wa fiati, kana lundo la mirungi.Af daraäni pangu pakavu walikuw kama wanalazimishwa shule vile.Nimewamisi sana rafiki zangu wa kisomali Orya,Orya!!. da,one day i will be back to lake zone.
Afrika kulikuwa na tabia za nchi kuwa na magari yaliyotengenezwa na mkoloni aliyetawala nchi husika mfano somalia walitawaliwa na waitaliano hivyo magari yao yakawa ni FIAT kirefu Federation Italiano Associon Torino Kwa Tanzania magari yalikuwa mengi Leyland na Landrover ya Uingereza aliyetutawala a Benzi za mjerumani aliyetutawala

Mjapani ndie kaja kufukuza magari ya wakoloni na Toyota zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom