Harusi ya Mwana JF

Hiyo ni harusi ya oldschool,
tena ujue mabibi harusi wote
enzi hizo walikuwa mabikiraziiiii.
 
bibi harusi amenoga, namfananisha na kipipi.
 
Last edited by a moderator:
Hii picha inaonyesha yuko 'mlimani' vile watakuwa wanacheza kichagga. kingibe kunachoonyesha ni moshi ni kofia ya baba mkwe wa kichagga
 
ndo tuko ukumbini ujue......ila huyo bw harusi wamenibambikia lol
He He He l! Bi Harusi utulivu ziro. Yaani sambamba na JF ukiwa ukumbini!!! Weka basi simu pembeni mkate keki ;-)..... Halafu tabia gani mwenzako kaweka mdomo standby kwa ajili ya busu halafu wee umebakia ku-smile tu badala ya ku-resiprocate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…