Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Tobaaa matron kachelewa harusini naja bestito....
we aya tu....kuchelewa ukumbini hlafu useme everything happen for a reason
Tobaaa matron kachelewa harusini naja bestito....
Chocs tunashukuru sana.........hatimaye ile siku kubwa imewadiafigganigga & Heaven on earth naona mambo yenu..hongereniiii
Huyu vipi ndie? Alafu honeymoon ukaondokea na huo mkoko wa nguvu.
Ombeni nanyi mtapewa.. charminglady nimekunyima nini mama yangu?Jamani jamani.... Kumbe Bujibuji u mchoyo hivo eeeh!!!!!
Huyu ni mwenzetu hapa jukwaani, lakini amenisikitisha sana kwa kutunyima mualiko wa shughuli yake.
![]()
He He He l! Bi Harusi utulivu ziro. Yaani sambamba na JF ukiwa ukumbini!!! Weka basi simu pembeni mkate keki ;-)..... Halafu tabia gani mwenzako kaweka mdomo standby kwa ajili ya busu halafu wee umebakia ku-smile tu badala ya ku-resiprocatendo tuko ukumbini ujue......ila huyo bw harusi wamenibambikia lol
hapa walikuwa wanacheza wimbo gani vile?