Kwan ndugu Mengi alikuwa hajaoa tu/ hakuna na mke??
Nashukuru umeleta hili swali, tusubiri jibu
Mamndenyi bana, kwani uzee wa kanisa unaondoa ubinadamu wa mtu, au ukiwa mzee wa kanisa hutakiwi kupenda?Mtaani kwangu mzee mmoja wa kanisa ana michepuko kadhaa. Labda ungekuja na gia ya kifamilia ningekuelewa angalau kidogo
Pamoja na yote maharusi wamependeza sana na waliobuni msemo wa uzee mwisho chalinze hawakukosea hata kidogo.
Muacheni aolewe tu, alikuwepo siku zote vijana hawakumuona leo babu kajichukulia chombo mnalia, mwacheni babu aongeze siku za kuishi, nyie endeleeni kuwaoa wanaume wenzenu.
Tatizo vijana walio wengi siku hizi siyo waowaji.