thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
all is fair in love and war
ha ha ha ha, 3 ------
all is fair in love and war
naamnilikuwa nafikiria kuwa natakiwa kutafuta madem wazri ama nitafute hela leo ndio nimeamni kuwa hela ndio kila kitu kuanzia leo money fedha
Pesa ina nguvu ya ushawishi...binti ameolewa na baba yake!
imependeza sanapesa ina nguvu ya ushawishi...binti ameolewa na baba yake!
Pesa ina nguvu ya ushawishi...binti ameolewa na baba yake!
man seek beauty,woman wants wealth...comb imebalancedah haya bnah....hela hizi, sio fea kabisa!!!!
sure mkuu...ukiwa tajiri kuwa na mwanamke mbaya ni maamuzi yako...Nilikuwa nafikiria kuwa natakiwa kutafuta madem wazri ama nitafute hela leo ndio nimeamni kuwa hela ndio kila kitu kuanzia leo money fedha
Mi nawaona wote wazee tu, nani ni kijana hapo?
ahaahaaa na muwaache walaleee
hapo pakikucha utasikia shikamoo baby.... yani ata hamna stimu!!! sasa ba mkwe wa mengi nadhani wameoishana mwaka mmoja lol!!!!
mjini msingi pesa yaani......