Harusi ya Mengi na K-Lyn

Harusi ya Mengi na K-Lyn

Namchekiki! namkadiria wee sasa cjui kama mzee anampa sawasawa kunako 6x6..

pesa bhana ,
 
Nilikuwa nafikiria kuwa natakiwa kutafuta madem wazri ama nitafute hela leo ndio nimeamni kuwa hela ndio kila kitu kuanzia leo money fedha
 
Muacheni aolewe tu, alikuwepo siku zote vijana hawakumuona leo babu kajichukulia chombo mnalia, mwacheni babu aongeze siku za kuishi, nyie endeleeni kuwaoa wanaume wenzenu.

Muache Dada wa Watu akamuimbie Mzee vijana mmeishia kuingiza vocal mkiambiwa mkamilishe nyimbo mnasambaa..

Sio ninaliaa.. Ila nalia kwa furaaaha...mapenziii anayonipaa..kwa vijana sijapataaa...!
 

attachment.php
 
Vijana mnalialia nini.. Acheni mzee aongeze miaka ya kuishi
 
uzee ni kwa maskini..kila mwenye pesa ni babyyyy
 
Kwan ndugu Mengi alikuwa hajaoa tu/ hakuna na mke??
 
Back
Top Bottom