BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
Hakuna harus ya kimasikini.
Harusi ni harusi tu, na ndoa ni ya muhimu zaidi ile inayofungwa kanisani mbele za Mungu,,hivo vingine ni addition tu.
Naweeza kuchagua tu kwenda kanisan na mke wang mtarajiwa na wazaz wake na wangu, then tunafunga ndoa then tunasepa zetu ,,,hakuna cha sherehe wala nini ...ila sababu ni siku moja na ni memory ya maisha yenu bas mfanye sherehe lakin kwa uwezo mlionao, msitake mambo makubwa na uwezo hamna..mfanye sherehe ya harusi ya milion 20 then baada ya honeymoon kuisha mnajikuta hamna kitu..hio harus ya kimasikin unayoiita yaweza kudumu miaka na miaka lakin hizo zenu za show off miez sita tu majanga tayari ndani.