Harusi ya kimasikini

al-baajun

JF-Expert Member
Sep 11, 2015
278
203
C3GAzjEW8AAjbw4.jpg
C3GA0y7WYAAf_C5.jpg
C3GA0ZxW8AArJeR.jpg

hii nimeikuta mtandaoni
 
Sio harusi hiyo ni ndoa,harusi ni Yale masherehe mnayo fanyaga ukumbini na mbwembwe zingine kama kutembea barabarani na magari ila kanisani hakuna harusi kanisani kuna ndoa tu.hapo wanafunga ndoa ila huwezi kufunga harusi.harusi haifungwi ila harusi inasheherekewa.
 
Nawatabiria ndoa yenye furaha sana hawa jamaa..... Wamefanya kitu kikubwa sana. Katika dunia hii ukiweza kuishi bila kujali kumfurahisha mwanadamu na kutojali utachukuliwaje na jamii utafika mbali sana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom