Harusi ya Kikiristo isiyozidi Milioni 1

Harusi ya Kikiristo isiyozidi Milioni 1

Me nishapanga siku ya ndoa me na mke wangu best man and woman, ndugu ataependa. Tunafunga ndoa asubuhi then kila mtu na shughuli zake, jioni tunaenda bar ya karibu Kula Bapa na nyama. Biashara ya ndoa kwisha.
 
wewe unataka ndoa au sherehe ya ndoa? kama ni ndoa mbona haizidi 1M manake padre akisema u may kiss the bride ndo mshamaliza tayar mshakuwa mke na mume nyingine zoote mbwembwe tu

Kuna jamaa yangu anaoa this week nashugulikia taratibu za harusi pia, tumeamua kuondoa sherehe ya harusi instead tukitoka church tunaenda piga picha kwenye hoteli flani ya ukweli then tutapata chakula kwenye open space ya hiyo hoteli na tutawaacha hapo maharusi wale fungate yao

gharama ya kupiga picha kwa 30ppl ni laki2.5 kutokea laki3 waliyotaka wenye hoteli, na msosi na vinywaji ni laki 6 na kulala 3days ni laki3.6. plus mafuta kwenye gari zetu 6 hazizidi laki3 kwa misele yoote ya siku hiyo!

tumebakisha suala la mpiga picha na mrembaji tu!

Harusi yoote haitazidi 3/4M ila itakuwa ni kwa invited guests pekee na itakuwa ya ukweli zaidi ya kufanyia ukumbini
 
Asante sana
Mkuu Mwajuma yuko sawa sana, kikubwa mkeo na yeye awe radhi kwa hilo msije mkaanza maisha yenu ya ndoa kwa mvutano, kikubwa unaweza kuamua kupika chakula kidogo nyumbani ili mkitoka church mle kwanza nyumban na wale watu walio karibu then mngekaanga hata vitu vidogo vidogo kama kuku, viaz, karanga, muweke na tukeki twa special hivi nk. Ambavy mtaenda navyo mahali kama ni ka restaurant muwaambie mko group mtahitaji kupata vinywaji kwa pamoja, hata mkipata garden nzuri mahali hata mkisimama itafaa tu na itapendeza
 
Wa
karibu,
ukiita watu 19 upande wa mke, 19 upande wako plus ninyi 2 ni 40
40×15= 600000, laki nne mke gauni simple elf 60, viatu 30, nyele akaset kawaida elfu 10 achane mtindo mzuri tu apake poda na wanja mwenyewe au saloon hapo hapo bila kuwaambia ni bi harusi hawatampiga bei

, wewe chukua kiatu elf 35, suruali nzuri 30, shati moderate 20, saloon nyoa ya buku 5 ten ilobaki tafuta kajitai kalofanana na gauni la mke basiii
laki 2 ilobaki safirisha hao watu kwa coster kwenda hapo ninyi tax to and from mfano 30 coster 170
itatosha hiyo milioni kabisa
Watasherekea na njaa?
 
Madam Mwajuma
Hebu ni pm please - serious!
 
Kwenye kanisa unalopanga kufunga ndoa, ongea nao kama wana ukumbi mdogo, kwa budget yako ni kheri kusiwe na pombe, tafuta caterer wa kama watu 50, mkitoka kanisani sherehe ndogo kwenye ukumbi wa kanisa. Gauni nunua ebay bei nafuu.
 
Madam mchanganuo wako mzuri lakini umesahau bajeti ya wasimamizi, keki na maladhi kwa wanandugu

maladhi ni nini? wakitaka keki wapinguze idadi ya watu,

halafu hivi ndoa hapa duniani ni keki? kukariri maisha kiasi hiki sio kabisa! wanunue hata kuku choma wa 20k akatwe fresh walishane ndoa sio keki jamani nyama ya kuku ikiwekwa sahani classic ni tamuu kuliko hiyo misukari kwenye keki!

wasimamizi wavae nguo zao wanazovaa kanisani siku za jumapili.
 
Kama unamaanisha ulichoandika fuata wazo la Great Thinker hapa chini
yaani nimekupenda bure, ita watu wachache upande wako na wa mke, tafuta ka hotel flan ambako chakula na vinywaji 2 havizidi sh. elfu 15 waambie labda kuna wateja 40 kwa masaa 3 wataandaa high table simple, fungeni ndoa kanisani elekeeni pale mkitoka kila mtu kwao.

nikimpata wa hivi nitafurah sana
 
Mbona nipo hapa ebu ngoja nije tuyajenge tena yetu itakuwa ya m2!
 
yaani nimekupenda bure, ita watu wachache upande wako na wa mke, tafuta ka hotel flan ambako chakula na vinywaji 2 havizidi sh. elfu 15 waambie labda kuna wateja 40 kwa masaa 3 wataandaa high table simple, fungeni ndoa kanisani elekeeni pale mkitoka kila mtu kwao.

nikimpata wa hivi nitafurah sana
Kumbe bado upo availabo, wanaume wengi wala hawapendi shughuli kubwa. Shida ipo upande wa pili.
 
Mahari nitatoa mkuu,je haiwezekani kupata kajiukumbi ka gharama nafuu?
Ukumbi wa nini? Kwanini uridhishe wengine halafu baada ya hapo uhangaike? Pengine mshakuwa mahawara miaka karibia 10 na watoto juu sasa mnataka kutambulisha nini kwenye huo ukumbi ambao watu hawakijui tayari?
Ili kutimia kwa kwa harusi kunahitajika bibi harusi ambae unae tayari, bwana harusi ambae ni wewe mwenyewe, askofu/padri ambao wamejaa makanisani, wazazi/ndugu wa karibu wa pande zote mbili ambao wanakuwa ni mashahidi pia. Mpaka hapo sijaona ukitumia hata laki 2. Mnaenda zenu kanisani, mnaozeshwa kimya kimya unarudi kwako na mkeo na laki 8 yenu ya kuanzia maisha.
Huu ulimbukeni wa kukopa, kuomba michango nk ni ujinga unaopaswa kuvunjwa maana hatma ya yote badala ya kuwa na faraja mkiingia kwenye ndoa mnabaki na stress za kuanza maisha upya mkiwa na madeni kibao. Hatma yake migogoro kila siku mwisho kuchapiwa mkeo.
 
Kumbe bado upo availabo, wanaume wengi wala hawapendi shughuli kubwa. Shida ipo upande wa pili.
Na wale wote waliosema haolewi ninataka washuhudie, budget millioni moja, hapo cha cha.
 
Back
Top Bottom