Sio jibu sahihi kwa ushauri unaohitajika hapaShida ya nini?badili dini tuu uwe muislam.Ndoa hata laki 5 haitaisha
Anaongelea harusi na sio gharama za kuoa.Umeshatoa Mahari kweli?
Kwa hela hiyo ni sawa na kusema tu kuwa hufanyi harusi.
Hata kama ni ya watu wachache...hiyo hela hata kulipia tu ukumbi haitoshi.
NB: Mimi pia si muumini wa sherehe kubwa.