SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Hongera kwao
Ahahahahahhaha dah.
Ndo kisa cha kusema mahari m100.
Mxxxxxie ili kwamba wengine waone hawakutolewa nyingi?
Akwendreee
. Haka kabinti nako katasepa tu kakipevuka kidogo tu.Hata suti huwa wanaita vya makafiri lakin wanagombaniana kuvaa mbaka basi sasa hiviHivi waislam huwa wanavalishana pete?
Hata music kwao ni ukafiri lakini weng ya wanamuziki ni waislamHata suti huwa wanaita vya makafiri lakin wanagombaniana kuvaa mbaka basi sasa hivi
hapo ndio huwa nashindwa kuwaelewa hawa jamaa zanguHahahaaaaa anacheza na kungiru was manzese huyoooo eeeehSasa wewe unakereka Nini Mimi kumuuliza yeye Dada(kwa heshima tu nakuuliza) ? Maana aliniquote nikamuuliza huoni Kama yalikuwa ni mazungumzo yetu sisi we unaingilia ya nini badala ya kuendelea na mambo yako? kwani Nimekwambia nimepata shida? Nauliza kwa upole tu
Shetani kaziniWambea njooni basi mtuambie ndoa ya kwanza ilikuaje ikafaaa. warumi uko wapi
Hapana Mamy sio Uchawi ,ndoa hizi za mbwembwe nyingi % kubwa huwa hazidumu kabisa!! Na hii ya Manara naona kabisa hapa kwenye Radar yangu haifiki 2022.





duhWajaaa shikamoooniHuyu bwana huwa namuonaga kama ana’utoto’ mwingi. Nahisi hata huyo dada akikua kidogo tu, atajionea shida kukaa kwenye utoto wa kiasi hicho. Atakimbia tu kama mwenzie, sema kwa sasa bado nae hajakua.
Hao wazazi waliompa haji manara mke hawampendi, afadhali wangempeleka hata kujifunza ufundi wa cherehani ungemsaidia maishani.








Haji keshakuambia dada ni inteligent.
Sijui wamesema marketing officer aaa sikumbuki bwana weeee kazi yake
Lakini kameenda enda shule.
Noma sana hii ya mdogo wake DC ilikufa Mapema sana ,akaja kuoa hako kabinti ka qatar pia nayo chali.
Ipo tukuletee? Delivery freeHakuna pikchaa
Khaaa umejua kunichekeshaIpo tukuletee? Delivery free
Delivery unapokea tukuletee picha full package?Khaaa umejua kunichekesha