ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,374
- 41,218
Lakini si uongo janaba ni ile hali ya maji maji mchanganyiko wa shahawa za me na keDamu itamwagiia hapa si mudaš¤
unajitetea mapema sana !kuna mdudu fulani kama kobe , mdogo sana , wanapenda kufauta mwanga wa taa .. kipind hiki cha mvua wanajaa sana kama ukiwasha taa . Aisee , mdudu ananuka huyo .
Wengi wanaotoka mikoani, wakifika Dar (mikoa yenye joto) hawajui utamaduni wa watu wa hili jiji hasa mikoa yenye baridi (Arusha, Iringa, Mbeya) Ukifika Dar, unatakiwa kiwango cha usafi ulikotoka huko, huku unaongeza juhudi zaidi; nikimaanisha usafi wa mtu binafsi. Kuswaki, kuoga, kufua, usafi wa nywele etc.Msaada unaweza kutuelewesha
Sio misk kweli kichupa kiduchuAlafu Kuna marashi flani wanawake WA kiiislam wanapenda kupaka akipaka hayo ata ukimtuma maji KWENYE glass yote ukianza kunywa ni harufu TU ya marashi MPAKA kero
Ni Kiislamu sio Kiarabu, janaba inahusiana na mambo ya rituals/taratibu za kidini. Kama wewe sio muislamu janaba haikuhusu.Kiswahili, kimekopa maneno mengi toka kwenye lugha ya kiarabu! š
Ni sawa na Lingala ya Kongo na Kifaransa.
Hapa jirani na office Kuna demu akiingia choo kinatema balaa MPAKA office yangu inanuka inabidi nifunge madirisha ya office Kila nikiisi anaenda haja SIJUI sio mnywaji WA maji.Pole kwa kukutana na kipochi manyoa kinatema
Ahaaa kumbe sawa asanteWengi wanaotoka mikoani, wakifika Dar (mikoa yenye joto) hawajui utamaduni wa watu wa hili jiji hasa mikoa yenye baridi (Arusha, Iringa, Mbeya) Ukifika Dar, unatakiwa kiwango cha usafi ulikotoka huko, huku unaongeza juhudi zaidi; nikimaanisha usafi wa mtu binafsi. Kuswaki, kuoga, kufua, usafi wa nywele etc.
Kivip? Hii meza hautoweza , bora utulie.unajitetea mapema sana !
Ni Kiislamu sio Kiarabu, janaba inahusiana na mambo ya rituals/taratibu za kidini. Kama wewe sio muislamu janaba haikuhusu.
Kumbe!! Tohara tenaš«¢Lakini si uongo janaba ni ile hali ya maji maji mchanganyiko wa shahawa za me na ke
So utaratibu wa Muslim nikitwaharisha after mnyanduano ili uwe safi na hata ufanye ibada zako za faradhi na sunna
Na mfano mwingine kwa mwanamke peke ake ni kujitwahirisha ukimaliza hedhi ukiwa hedhi unakua sio tohara
Labda shadeeya atajibu kama ni misikiSio misk kweli kichupa kiduchu
Harufu kalii
hahahaaa, saw mkuu !Kivip? Hii meza hautoweza , bora utulie.
Wengine ni wagonjwa mkuu!Wanaonuka midomo WENGI Huwa wanakula sana protein au waloshimda njaa.
AISE mkuu papuchi inanuka baana MTU kavaa vizuri suruali yake kajipodoa Kwa basi umekaa nae ikifika saa 7 mpaka10 aiseh, combination ya jasho na harufu mbaya.
Pole sana kama una muweza ongea nae kwa upoleHapa jirani na office Kuna demu akiingia choo kinatema balaa MPAKA office yangu inanuka inabidi nifunge madirisha ya office Kila nikiisi anaenda haja SIJUI sio mnywaji WA maji.
Choo kipo jirani na office yamgu
Shida ni ofisi yako ipo jirani na choo , na shida sio huyo binti , ulitaka mapupu yanukie keki?Hapa jirani na office Kuna demu akiingia choo kinatema balaa MPAKA office yangu inanuka inabidi nifunge madirisha ya office Kila nikiisi anaenda haja SIJUI sio mnywaji WA maji.
Choo kipo jirani na office yamgu
Kama ni waarabu ni kwaajili ya hali zao! Wanatoaga harufu sana huwezi kukaa naye lisaa so marashi hayo yanawabeba!Alafu Kuna marashi flani wanawake WA kiiislam wanapenda kupaka akipaka hayo ata ukimtuma maji KWENYE glass yote ukianza kunywa ni harufu TU ya marashi MPAKA kero
Mgonjwa gani kujiendekeza mtoto mkali unakaa na magonjwa ya tumbo ? Kunywa mtindi, asali matango sio kutwa chipsi mayai na dagaaWengine ni wagonjwa mkuu!
Eeeh wenye dini yao wanaelewaKumbe!! Tohara tenaš«¢
Harufu nzuri ni sehemu ya hadhi na ustaharabu kwa waarabu , hii ya wananuka ni nimeisikia kwako leoKama ni waarabu ni kwaajili ya hali zao! Wanatoaga harufu sana huwezi kukaa naye lisaa so marashi hayo yanawabeba!