macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,476
- 61,356
BTW unajua sentensi uliyoandika ina maana gani? Ina maana wewe unataka ujue sehemu ambazo huyo jamaa HAYUKO! Jaribu kuwa mwangalifu unapoandika na usirahisishe mambo kama hujaenda shule!natamani nijue huko wapi
Jamaa wewe ni mzinga wa kilaza!ila hakuna msosi mzuri utakaowahi kutokea kama wali nyama arage na mchicha. Uhenda haya majoka makubwa yameamua kujichanganya kwenye hii mechanism kuwavutia vitoweo vyao,
UbarikiweMkuu Me sitakimbia nitaifuata harufu ya wali nikiwa na ndizi, pilipili na pepsi ya baridi.
Sina uhakika lakini mimi nadhani kuna miti huwa inatoa harufu ya namna hii wakati fulani eg wakati wa kuchanua. Nasema hivi kwa sababu kuna issue kama hii hii ya harufu porini lakini tofauti ni kuwa harufu inakuwa ya maziwa ya mtindi. Baada ya uchunguzi nikagundua kuwa kuna matunda fulani wakati yachanua huwa yananukia kama maziwa ya mgando.Mmh hii wengi tumeaminishwa kuwa usikiapo harufu ya wali polini jua kuna joka lakini nani Ali prove hii
Duuu wali jasmine umenkumbusha mbali mwana enz za ugaibuni u nanunua jasmine rice daaaaMkuu ukiwa porini ukanusa harufu ya ubwabwa tena ule unanukia kama Thai Jasmine am a Basmati timua mbio hapo kuna bonge la joka. Siyo uwongo hii ni kweli ila nadhan ni kuhusu nyoka alivyoumbwa kibailojia
Yote tulisikia zamani lakini hiyo huwa ni harufu ya mitiHabari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
Ukisikia hiyo harufu anza kupiga mluzi taratibu......taratibu........taratibuHabari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr
mimi ni LAZIMA nile wali 'jasmine' kila siku ikipita cku sijala nakuwa mgonjwa. Yani kitu kisafi ukikifungua tu hamna haja ya kuchambua na kuosha unakimimina tu sufurian.Duuu wali jasmine umenkumbusha mbali mwana enz za ugaibuni u nanunua jasmine rice daaaa
mkuu mbona unanishambulia sanaBTW unajua sentensi uliyoandika ina maana gani? Ina maana wewe unataka ujue sehemu ambazo huyo jamaa HAYUKO! Jaribu kuwa mwangalifu unapoandika na usirahisishe mambo kama hujaenda shule!
Hapana mkuu huwa unazidisha. Kuandika kwako ni too low. Jaribu basi ''kujihangaisha'' kujua maneno ya kiswahili yanaandikwaje. Na hii tabia siipendi kabisa kwani inaonyesha watu kutokuwa makini na wavivu. Imaging kuna mtu mpaka kesho anaandika jina la rais kama ''Magufuri''. Tena mtu huyo unakuta ni msomi wa chuo kikuu. Hii imekuwa ni kama utamaduni wa watanzania wote.mkuu mbona unanishambulia sana
Ni kweli mkuu. Hata mimi kwenye post ya juu nimeandika. Kuna miti wakati inachanua huwa inatoa harufu kama maziwa ya mgando vilevile.Yote tulisikia zamani lakini hiyo huwa ni harufu ya miti
Ukiwa na njaa sana lazima utahisi unanusa harufu ya ubwabwa ( reflex )Habari za jumapili wana JF.
Bila kupoteza muda wadau naomba kuuliza,Je ile harufu ya wali (wali nazi) ambayo tunaisikia tukiwa porini au msituni tena sehemu ambayo haina makazi ya watu inatokana na nini?
Cc. mshana jr