Maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)
Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini.

Je Kuna Nini kinaendelea?

Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
 
Wadau maeneo ya MTONI KIJICHI hadi MTONGANI Kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)
Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea??

Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
Itakua tanoil baada ya kupokea ripoti ya cag
 
Mrejesho
Kunamafuta yanatiririka kutoka mto mzinga kuja baharini. Eneo la bahari wakati huu maji yameondoka ila mafuta yanaletwa na maji ya mto mzinga
 

Attachments

  • 20240329_111257.mp4
    16.2 MB
Back
Top Bottom