harufu ndani ya basi

Kuna njemba aliyekaa nyuma yako haijaoga zaidi ya mwezi, ikate jicho la hasira utaona inainama chini kwa aibu.
 
jijini naona kafika salama kwani yuko "online right now"
Ila huyu jamaa naona ameharibu biashara ya hilo basi kwa taarifa zake.. Ningeomba apewe ban

Anastahili pongezi kwa kufika dsm
 
Yale yale wa mwanaume yuko nje analima mkewe yuko ndani anapika mara mlio wa risasi unasikika kwa nje then mwanaume anakimbia ndani na anafunga mlango halafu anamuuliza mkwewe
"Nani kafyatua Risasi?"
Umenikumbusha mambo ya magereza. Wafungwa wapo ndani ya gereza, wakisikia kishindo cha viatu nje, wanaulizana kama huyo ni Afande.
 
Habari za asubuhi wadau
nipo singida nimepanda najmunisa naelekea dar..
Kwenye hili basi nimekutana na harufu ya ajabu haieleweki.
Mwenye kujua chanzo cha harufu ndani ya basi naomba anijuze.

Ha, ha, ha! Kweli JF kiboko, maana naona kuna watu wanakuwa wanai-miss ile mbaya, wanataka tu kupost ka-thread ka aina fulani ili ku-touch base!

Safari njema Ukweli.
 
wenzako tunapandaga ABC UPPER CLASS elf30 au normal class 28elfu.wewe unapanda gari nauli elf20???? BURE/NAFUU GHALI..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom