Harufu Mbaya ya Ufisadi Katika Daraja la Kigamboni

Mheshimiwa unaweza kuwa sahihi kabisa ktk mchango wako wa mawazo lakini nnaomba utoanishe hiyo hesabu hapo utaona gharama iliyoongezeka ina ukubwa utakao lingana na utofauti wa urahisi au gharama kwa hapa nchini kwetu?...Sababu nnaona ongezeko ni kubwa sana ukilinganisha na sababu ulizo zitoa Mheshimwa sana....

Usitoe vitu hewani, fanya vitu concrete, chukua kitu chochote kile sio daraja, chochote kile fanyia huo utafiti. Pili yakupas ujue huo mkataba uliingiwa kwa makubaliano ya kulipa kutumia currency gani? Je zililipwa hela zote kwa mkupuo mmoja? vilinunuliwa vitu vyote kwa mkupuo mmoja? Exchange rate imeathiri kuongezeka kwa gharama kiasi gani.Jiulize pia kuna bidhaa zilizotumika zilizalishwa hapa nchini? Gharama zetu za uzalishaji zikoje ukilinganisha na china. Je kuna vitu viliagizwa kutoka nje? Kulikuwa na msamaha wa kodi au vyote vililipiwa kodi. Masuala yanayofanya gharama kuongezeka Tanzania ambazo si ufisadi ni nyingi. Zitafutwe gharama hizo zote zijulikane halafu sas ufisadi usemwe ni kiasi gani na si kufanya ulaghai huu wa kitoto kwa ajili ya kutaka kuleta tafrani na kutoaminiana kwa manufaa ya mtu mmoja mwanasiasa uchwara kutaka kujikuza kisiasa.
 
Wewe ujielewi hili daraja limemalizika mwaka jana?

wakati ujenzi unaendelea mada ililetwa humu ni copy & paste na uliyo ya andika...

kwanza kuwa mstaarabu .. acknowledge source ya habari ... hujamtendea haki yericko maana ni bandiko lake copy & paste
 
Kama hujafika kwenye lile daraja basi naomba ujizuie kuzungumzia gharama

kilichofanyika pale sio tu ujenzi wa daraja
bali ujenzi wa daraja na barabara.....ambayo ni kubwa...kwa kipande ambacho ni kikubwa
 
WASTANI WA GHARAMA ZA UJENZI WA MITA 1 TZ NI =417,065,440/-

Lakini China ni
62,372,872/- tu. Kwa mita 1.

Gharama ya Tz zimefanywa kuwa kubwa kuliko ya China kwa zaidi ya 660%.

Gharama ya ziada Tz ukilinganisha na China ni 212,815,541,000/-

Na, Solomon Michael Kambarangwe

Nifuateni....twende pamoja kwa ufafanuzi.

Ndugu wananchi wenzangu, kwa mtu anayejielewa na kufuatilia mambo ya nchi yetu hata tofautiana na mimi kuwa watendaji wa chama cha mapinduzi (CCM) mara nyingi yaani kwa 99% hawawezi kufanya maunuzi bila kuibia Watz masikini kupitia manunuzi hayo

Yaani wao ni tabia na jadi kwao na mara nyingi asiyekubali kuchakachua kupitia shughuli za ofisi ya umma hupata maadui wa makada wa ccm.

Nimefanya udadisi wa gharama za ujenzi wa daraja la Kigamboni baada ya kuelezwa gharama iliyotumika na kulinganisha gharama za ujenzi wa daraja la kupita baharini nchini China lenye urefu wa Km 41.3 refu sana kuliko la Kigamboni.

Baada ya ulinganifu huo nimegundua kuwepo kwa kila dalili ya ufisadi mkubwa sana ktk ujenzi wa daraja la Kigamboni japo viongozi wa serikali ya ccm hawataki hilo lisemwe.

BAADHI YA KUMBUKUMBU ZA UFISADI WA SERIKALI YA CCM KATIKA MANUNUZI NA UTEKEREZAJI WA MIRADI

1. Manunuzi ya Magari hewa yenye thamani ya 4.3 Bilion CAG report ya 2009

Ilidaiwa na wakala wa manunuzi wa magari ya serikali kuwa yalizama baharini yakisafirishwa kutoka Japan.

Kamati ya bunge ilienda kuthibitisha ikakuta hakuna hata karatasi wala ofisi ya wakala huyo. Ila viongozi wa umma waliishakuwa kimya na pesa zilimezwa na mafisadi.

2. Mradi wa ujenzi wa Magorofa Pacha ya BoT ulidaiwa kugharimu zaidi ya Bilion 522.4 Tshs. Gazeti la MwanaHalisi la April 20, 2011 lili-report.

Wizi huu ulifanyika wakati wa serikali ya Mkapa.

3. Manunuzi ya Radar

Bei halali ya Radar sokoni ilikuwa Pound 12 Mil ila serikali ilidai imenunua Radar kwa Pound 40 Mil. Yaani mafisadi wa ccm waliongeza na kuibia Watz Pound 28 Milion

Kwa Sh.ya Tz ikiwa £1 = 2300 wakati huo

28,000,000 X 2300
=64,400,000,000/- Tshs ziliibwa kupitia manunuzi hayo.

Hiyo ni mifano michache tu inayoeleza ufisadi wa kutisha wa viongozi kupitia CCM.

China wamefungua daraja lenye urefu wa km 41.3 baharini na limegharimu USD 1.4Bilion

Daraja letu la Kigamboni lina urefu wa mita 600 baharini na limegharimu USD million 136

China: 1,400,000,000÷ 41300=
33,898.305085 USD, kwa Ujenzi wa mita moja ya Daraja China.

136,000,000 USD :- 600= 226,666 USD

Gharama ya kila Mita 1 kwa Tshs.

1840 X 226666
417, 065,440/-Tshs

Gharama ya kutengeneza 1 moja ya daraja Kigamboni.

Na
417065440X 600
=
250,239,264,000/-

Yaani 250.3 Bilion Tshs. kwa Ex.Rate ya 2840 Tshs sawa na dola 1 ndiyo ilitumika kujenga na kukamisha daraja la Kigamboni.

Kwakutumia uwiano sahihi wa China kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni lililojengwa na Wachina, ilitakiwa kuwa hivi:

33,898.305085 x 600= 20,338,980 USD sawa

20,338,980 X 1840
=37,423,723,200 Tshs

Yaani Bil.37.4 Tshs.

Ndiyo ilitakiwa kugharimia daraja la Kigamboni kwa mujibu wa gharama halisi kwa kulinganisha na gharama iliyotumika Uchina kutengeneza Mita 1 ila gharama iliyotumika Tz imekuwa juu ya ile ya Uchina kwa zaidi ya 660%.

TOFAUTI YA GHARAMA

250,239,264,000 - 42,423,723,000
=212,815,541,000/-

Maana yake, gharama ya kutengeneza daraja la Tz Kigamboni zaidi ya ile ya China (Inflated value) ni 212,815,541,000/- Tshs.

MAONI YANGU

1. Kufanyike uhakiki/audit na chombo huru ya matumizi ya fedha za umma kubaini ukweli maana haiwezekani gharama za Tz ziwe juu ya gharama za uchina.

2. Ikibainika kuwa ni kweli, adhabu ya wanaofanya ufujaji wa fedha za umma namna hii wanastahili kunyongwa hadi kifo.

Share ujumbe huu na wananchi wengine ili tudai haki ya matumizi sahihi ya fedha za umma na kuwaeleza watawala wajue hatutaki uovu ktk matumizi ya fedha za umma unaoathiri maisha ya wanyonge.

Wakati unatafakari hayo....kumbuka:-

*ukosefu wa ajira

*hali mbaya ya huduma ya afya.

*hali mbaya ya huduma ya elimu.

*vijana wanakosa mikopo n.k

Toa maoni yako kuhusu ufisadi na watendaji kuongeza gharama kwenye makaratasi wakiibia wananchi na mazoea ya chama cha mafisadi kulinda na kuhifadhi mafidadi papa ila wakifanya kushugulikia mafisadi vidagaa.

Je, Magufuri si alikuwa Waziri katika serikali iliyopita?

Aliishauri nini serikali ktk hili? Je, hii cost inflation anaifumbia macho? Ameridhika nayo?

Si kweli, gharama za daraja la China ni $88 billion na si $1.4 billioni kama unavyotaka kujaza watu ujinga.

Kafanye tena homework yako na ukumbuke siyo wote JF ni manyumbu.
 
This is disgrace kuwa na mtu wa aina yako kwenye jamii. wakati china wakiwa na kila kitu ndani tanzania wana-import kila kitu kuanzia wakandarasi mpaka na materials husika.You import everything. nadhani hata wewe unahitaji kuimpotiwa ubongo maana ulionao ni feki.
Halafu si kweli, gharama za daraja la China ni $88 billion na si $1.4 billioni kama unavyotaka kujaza watu ujinga.
 
Boss, gharama za daraja la China ni $88 billion na si $1.4 billioni. hawa mburula lengo lao ni kumchafua Dr. Dau tu na si vinginevyo.
Kama hujafika kwenye lile daraja basi naomba ujizuie kuzungumzia gharama

kilichofanyika pale sio tu ujenzi wa daraja
bali ujenzi wa daraja na barabara.....ambayo ni kubwa...kwa kipande ambacho ni kikubwa
 
Boss, gharama za daraja la China ni $88 billion na si $1.4 billioni. hawa mburula lengo lao ni kumchafua Dr. Dau tu na si vinginevyo.

Hakuna wa kumchafua dau Bali kajinyea mwenyewe ndo maana kachFuka,huyu hasafishiki hata kwa jiki vuteni subira
 
Mkataba ni kwa daraja na barabara km 1.5 kila upande, manunuzi yote anafanya Mkandarasi yeye anakabidhi daraja na barabara zake kwa hiyo kuweka gharama za manunuzi ni ufinyu wa mawazo au kupapasa Gizani.
 
Kama hujafika kwenye lile daraja basi naomba ujizuie kuzungumzia gharama

kilichofanyika pale sio tu ujenzi wa daraja
bali ujenzi wa daraja na barabara.....ambayo ni kubwa...kwa kipande ambacho ni kikubwa
Kaka hapa umeweka uzalendo mbele...big up.
 
Tunajua lengo lako ni kumchafua Rais wa awamu ya nne Mheshimiwa JK ambaye ndie alikuwa na maamuzi yote na sio waziri wake wa Ujenzi wakati huo JPM.

Humpati Mzee wa msoga ndg yangu!!!

Queen Esther

WASTANI WA GHARAMA ZA UJENZI WA MITA 1 TZ NI =417,065,440/-

Lakini China ni
62,372,872/- tu. Kwa mita 1.

Gharama ya Tz zimefanywa kuwa kubwa kuliko ya China kwa zaidi ya 660%.

Gharama ya ziada Tz ukilinganisha na China ni 212,815,541,000/-

Na, Solomon Michael Kambarangwe

Nifuateni....twende pamoja kwa ufafanuzi.

Ndugu wananchi wenzangu, kwa mtu anayejielewa na kufuatilia mambo ya nchi yetu hata tofautiana na mimi kuwa watendaji wa chama cha mapinduzi (CCM) mara nyingi yaani kwa 99% hawawezi kufanya maunuzi bila kuibia Watz masikini kupitia manunuzi hayo

Yaani wao ni tabia na jadi kwao na mara nyingi asiyekubali kuchakachua kupitia shughuli za ofisi ya umma hupata maadui wa makada wa ccm.

Nimefanya udadisi wa gharama za ujenzi wa daraja la Kigamboni baada ya kuelezwa gharama iliyotumika na kulinganisha gharama za ujenzi wa daraja la kupita baharini nchini China lenye urefu wa Km 41.3 refu sana kuliko la Kigamboni.

Baada ya ulinganifu huo nimegundua kuwepo kwa kila dalili ya ufisadi mkubwa sana ktk ujenzi wa daraja la Kigamboni japo viongozi wa serikali ya ccm hawataki hilo lisemwe.

BAADHI YA KUMBUKUMBU ZA UFISADI WA SERIKALI YA CCM KATIKA MANUNUZI NA UTEKEREZAJI WA MIRADI

1. Manunuzi ya Magari hewa yenye thamani ya 4.3 Bilion CAG report ya 2009

Ilidaiwa na wakala wa manunuzi wa magari ya serikali kuwa yalizama baharini yakisafirishwa kutoka Japan.

Kamati ya bunge ilienda kuthibitisha ikakuta hakuna hata karatasi wala ofisi ya wakala huyo. Ila viongozi wa umma waliishakuwa kimya na pesa zilimezwa na mafisadi.

2. Mradi wa ujenzi wa Magorofa Pacha ya BoT ulidaiwa kugharimu zaidi ya Bilion 522.4 Tshs. Gazeti la MwanaHalisi la April 20, 2011 lili-report.

Wizi huu ulifanyika wakati wa serikali ya Mkapa.

3. Manunuzi ya Radar

Bei halali ya Radar sokoni ilikuwa Pound 12 Mil ila serikali ilidai imenunua Radar kwa Pound 40 Mil. Yaani mafisadi wa ccm waliongeza na kuibia Watz Pound 28 Milion

Kwa Sh.ya Tz ikiwa £1 = 2300 wakati huo

28,000,000 X 2300
=64,400,000,000/- Tshs ziliibwa kupitia manunuzi hayo.

Hiyo ni mifano michache tu inayoeleza ufisadi wa kutisha wa viongozi kupitia CCM.

China wamefungua daraja lenye urefu wa km 41.3 baharini na limegharimu USD 1.4Bilion

Daraja letu la Kigamboni lina urefu wa mita 600 baharini na limegharimu USD million 136

China: 1,400,000,000÷ 41300=
33,898.305085 USD, kwa Ujenzi wa mita moja ya Daraja China.

136,000,000 USD :- 600= 226,666 USD

Gharama ya kila Mita 1 kwa Tshs.

1840 X 226666
417, 065,440/-Tshs

Gharama ya kutengeneza 1 moja ya daraja Kigamboni.

Na
417065440X 600
=
250,239,264,000/-

Yaani 250.3 Bilion Tshs. kwa Ex.Rate ya 2840 Tshs sawa na dola 1 ndiyo ilitumika kujenga na kukamisha daraja la Kigamboni.

Kwakutumia uwiano sahihi wa China kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni lililojengwa na Wachina, ilitakiwa kuwa hivi:

33,898.305085 x 600= 20,338,980 USD sawa

20,338,980 X 1840
=37,423,723,200 Tshs

Yaani Bil.37.4 Tshs.

Ndiyo ilitakiwa kugharimia daraja la Kigamboni kwa mujibu wa gharama halisi kwa kulinganisha na gharama iliyotumika Uchina kutengeneza Mita 1 ila gharama iliyotumika Tz imekuwa juu ya ile ya Uchina kwa zaidi ya 660%.

TOFAUTI YA GHARAMA

250,239,264,000 - 42,423,723,000
=212,815,541,000/-

Maana yake, gharama ya kutengeneza daraja la Tz Kigamboni zaidi ya ile ya China (Inflated value) ni 212,815,541,000/- Tshs.

MAONI YANGU

1. Kufanyike uhakiki/audit na chombo huru ya matumizi ya fedha za umma kubaini ukweli maana haiwezekani gharama za Tz ziwe juu ya gharama za uchina.

2. Ikibainika kuwa ni kweli, adhabu ya wanaofanya ufujaji wa fedha za umma namna hii wanastahili kunyongwa hadi kifo.

Share ujumbe huu na wananchi wengine ili tudai haki ya matumizi sahihi ya fedha za umma na kuwaeleza watawala wajue hatutaki uovu ktk matumizi ya fedha za umma unaoathiri maisha ya wanyonge.

Wakati unatafakari hayo....kumbuka:-

*ukosefu wa ajira

*hali mbaya ya huduma ya afya.

*hali mbaya ya huduma ya elimu.

*vijana wanakosa mikopo n.k

Toa maoni yako kuhusu ufisadi na watendaji kuongeza gharama kwenye makaratasi wakiibia wananchi na mazoea ya chama cha mafisadi kulinda na kuhifadhi mafidadi papa ila wakifanya kushugulikia mafisadi vidagaa.

Je, Magufuri si alikuwa Waziri katika serikali iliyopita?

Aliishauri nini serikali ktk hili? Je, hii cost inflation anaifumbia macho? Ameridhika nayo?
jua lengo lako NI kumchafua Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete. Hata hivyo hutomuweza. Yeye ndie alikuwa Rais wakati huo na mwenye maamuzi ya mwisho na sio JPM.

Aliishauri nini serikali ktk
 
Usitoe vitu hewani, fanya vitu concrete, chukua kitu chochote kile sio daraja, chochote kile fanyia huo utafiti. Pili yakupas ujue huo mkataba uliingiwa kwa makubaliano ya kulipa kutumia currency gani? Je zililipwa hela zote kwa mkupuo mmoja? vilinunuliwa vitu vyote kwa mkupuo mmoja? Exchange rate imeathiri kuongezeka kwa gharama kiasi gani.Jiulize pia kuna bidhaa zilizotumika zilizalishwa hapa nchini? Gharama zetu za uzalishaji zikoje ukilinganisha na china. Je kuna vitu viliagizwa kutoka nje? Kulikuwa na msamaha wa kodi au vyote vililipiwa kodi. Masuala yanayofanya gharama kuongezeka Tanzania ambazo si ufisadi ni nyingi. Zitafutwe gharama hizo zote zijulikane halafu sas ufisadi usemwe ni kiasi gani na si kufanya ulaghai huu wa kitoto kwa ajili ya kutaka kuleta tafrani na kutoaminiana kwa manufaa ya mtu mmoja mwanasiasa uchwara kutaka kujikuza kisiasa.

Mkuu wewe mwenyewe hapa umechangia juu juu bila ya kuainisha gharama ili upinge kwa hoja tukuelewe,huu ublah blah ulioufanya unataka uaminike vipi?.Ongea kwa namba kama mwenzio tutakuelewa ,tofauti na hapo na wewe unapiga blah blah tu hapa na unatoa vitu hewani na unataka tukuamini tu.Rudia kusoma bandiko la mleta mada labda utaelewa na ukimpinga jitahidi utembee ktk namba kama alivyo fanya yeye.
 
niondolee usengerema wako hapa. mpumbavu na lofa wewe.

Mkuu ni ukweli dau hasafishiki kwa ufisadi huyu ni mwizi tu,kwa hali ya kawaida mtumishi kumiliki viwanja vitatu vya beach na amejenga uwanja wa mpira wa kisasa vyenye kuwa na umwagiliaji wa kisasa kama alivyofanya dau huku akimiliki mijengo wa gorofa tatu yenye security system uliokufuru huku akipandisha mijengo mwingine ada estate na nyumba kadhaa nje ya nchi TAKUKURU pigeni kazi mumfunge huyu jambazi
 
Mkuu wewe mwenyewe hapa umechangia juu juu bila ya kuainisha gharama ili upinge kwa hoja tukuelewe,huu ublah blah ulioufanya unataka uaminike vipi?.Ongea kwa namba kama mwenzio tutakuelewa ,tofauti na hapo na wewe unapiga blah blah tu hapa na unatoa vitu hewani na unataka tukuamini tu.Rudia kusoma bandiko la mleta mada labda utaelewa na ukimpinga jitahidi utembee ktk namba kama alivyo fanya yeye.

Wengine katika malezi yetu tumefundishwa kuwa anapotokea mtu mwenye njaa tumfundishe kuvua samaki na sio kumpa samaki.Samahani kama maelezo yangu hayaendani na uwezo wa tafakuri yako.
 
Mkuu ni ukweli dau hasafishiki kwa ufisadi huyu ni mwizi tu,kwa hali ya kawaida mtumishi kumiliki viwanja vitatu vya beach na amejenga uwanja wa mpira wa kisasa vyenye kuwa na umwagiliaji wa kisasa kama alivyofanya dau huku akimiliki mijengo wa gorofa tatu yenye security system uliokufuru huku akipandisha mijengo mwingine ada estate na nyumba kadhaa nje ya nchi TAKUKURU pigeni kazi mumfunge huyu jambazi
acheni porojo. hata mimi naweza sema wewe unamiliki ikulu ya white house ya obama. we all know mnachosema na mnachomaanisha.
 
Back
Top Bottom