Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,167
- 162,602
Mungu ndie atawaumbua hawa watu.
Inaitwa hedging kwa lugha ya wenzetu na wataalamu walioko hukoila kwa taarifa yako hawa jamaa wa NSSF walikuwa vizuri sana wakati wakisain mkataba kwani walikubaliana exchange rate itabaki fixed mda wote wakati wa malipo, na exchange rate iliyotumika kulipa fedha zote ilikuwa 1520.00
Asisahu na VAT kwenye material.Gharama ya ujezi wa daraja la kigamboni ni Tsh bilion 218, na mkataba ulikuwa kwa exchange rate ya 1560 miaka mitatu iliyopita
anzia hapo kufanya mahesabu
kisha elezea gharama za ku import materials kutoka nje
then endelea na analysis yako
Alafu kuna waliodumaa akili wanakuja hapa wanampigia makofi, ndio maana hataki bunge lionyeshwe ili yasitumbuliwe, hakuna mtu yeyote yuko CCM na sio mwizi hata mtu wa kaida ukimuuliza kwa nini anaiunga mkono, utasikia kuna tenda tetapendelewa,kuna vikao tutaitwa vina posho, tutapendelewa kufagia mtaa,kuna kazi nitapendelewa kuipata. wanafikira kuiba tu, na ndio maana hata mpaka sasa wanaonyesha maigizo ya kutumbuana wenyewe
usidanganye suala la material huwa ni la mkandarasi mwenyeweGharama ya ujezi wa daraja la kigamboni ni Tsh bilion 218, na mkataba ulikuwa kwa exchange rate ya 1560 miaka mitatu iliyopita
anzia hapo kufanya mahesabu
kisha elezea gharama za ku import materials kutoka nje
then endelea na analysis yako
Alafu kuna waliodumaa akili wanakuja hapa wanampigia makofi, ndio maana hataki bunge lionyeshwe ili yasitumbuliwe, hakuna mtu yeyote yuko CCM na sio mwizi hata mtu wa kaida ukimuuliza kwa nini anaiunga mkono, utasikia kuna tenda tetapendelewa,kuna vikao tutaitwa vina posho, tutapendelewa kufagia mtaa,kuna kazi nitapendelewa kuipata. wanafikira kuiba tu, na ndio maana hata mpaka sasa wanaonyesha maigizo ya kutumbuana wenyewe
atayamaliza akati ndie aliyehusika toka mwanzo wa ujenzi akiwa waziri CCM NI ILE ILE DAIMAJPM atayamaliza yote.
Itakuwaje litwe Dau wakati in washirika wawili Nssf na Tanroad na Tanroad ndio wizara ya ujenziHilo daraja bora wangeliita DAU bridge.kuliita nyerere angali ni ufisadi mtupu ni kumdhihaki hayati baba wa taifa
Wananchi walitaka daraja na wamelipata. Hayo mengine tumwachie Baba na mama.
Hata mtambo wa kutengeneza uongo China ni bei nafuu kuliko Tanzania. Magari bei nafuu Japan kuliko Tanzania, vitu vya elektroniks huko vinakozalishwa ni rahisi kuliko Tanzania. Hata ndizi bukoba ni rahisi bukoba kuliko Dar es salaam. Kuku ni rahisi Singida kuliko Dar es salaam. Kitu chochote kina gharama ndogo na vinapatikana kwawingi kule vinakozalishwa kuliko sehemu ambazo havipo au havizalishwi hii ni akili kidogo tu ya uchumi. Kila mmoja afanye utafiti wake kwa kitu chochote ambacho hakizalishwi wala kutengenezwa Tanzania. Afanye utafiti mdogo huko nje kinapozalishwa kinapatikana kwa bei gani na huku kwetu ni shilingi ngapi halafu tazama propotional au ratio ikoje. Wakati mwingine tukatae kudanganywa na professional liars hata kama tunajua uongo ndio unaowafanya ndugu zetu hawa waishi.