Harufu Mbaya ya Ufisadi Katika Daraja la Kigamboni

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
WASTANI WA GHARAMA ZA UJENZI WA MITA 1 TZ NI =417,065,440/-

Lakini China ni
62,372,872/- tu. Kwa mita 1.

Gharama ya Tz zimefanywa kuwa kubwa kuliko ya China kwa zaidi ya 660%.

Gharama ya ziada Tz ukilinganisha na China ni 212,815,541,000/-

Na, Solomon Michael Kambarangwe

Nifuateni....twende pamoja kwa ufafanuzi.

Ndugu wananchi wenzangu, kwa mtu anayejielewa na kufuatilia mambo ya nchi yetu hata tofautiana na mimi kuwa watendaji wa chama cha mapinduzi (CCM) mara nyingi yaani kwa 99% hawawezi kufanya maunuzi bila kuibia Watz masikini kupitia manunuzi hayo

Yaani wao ni tabia na jadi kwao na mara nyingi asiyekubali kuchakachua kupitia shughuli za ofisi ya umma hupata maadui wa makada wa ccm.

Nimefanya udadisi wa gharama za ujenzi wa daraja la Kigamboni baada ya kuelezwa gharama iliyotumika na kulinganisha gharama za ujenzi wa daraja la kupita baharini nchini China lenye urefu wa Km 41.3 refu sana kuliko la Kigamboni.

Baada ya ulinganifu huo nimegundua kuwepo kwa kila dalili ya ufisadi mkubwa sana ktk ujenzi wa daraja la Kigamboni japo viongozi wa serikali ya ccm hawataki hilo lisemwe.

BAADHI YA KUMBUKUMBU ZA UFISADI WA SERIKALI YA CCM KATIKA MANUNUZI NA UTEKEREZAJI WA MIRADI

1. Manunuzi ya Magari hewa yenye thamani ya 4.3 Bilion CAG report ya 2009

Ilidaiwa na wakala wa manunuzi wa magari ya serikali kuwa yalizama baharini yakisafirishwa kutoka Japan.

Kamati ya bunge ilienda kuthibitisha ikakuta hakuna hata karatasi wala ofisi ya wakala huyo. Ila viongozi wa umma waliishakuwa kimya na pesa zilimezwa na mafisadi.

2. Mradi wa ujenzi wa Magorofa Pacha ya BoT ulidaiwa kugharimu zaidi ya Bilion 522.4 Tshs. Gazeti la MwanaHalisi la April 20, 2011 lili-report.

Wizi huu ulifanyika wakati wa serikali ya Mkapa.

3. Manunuzi ya Radar

Bei halali ya Radar sokoni ilikuwa Pound 12 Mil ila serikali ilidai imenunua Radar kwa Pound 40 Mil. Yaani mafisadi wa ccm waliongeza na kuibia Watz Pound 28 Milion

Kwa Sh.ya Tz ikiwa £1 = 2300 wakati huo

28,000,000 X 2300
=64,400,000,000/- Tshs ziliibwa kupitia manunuzi hayo.

Hiyo ni mifano michache tu inayoeleza ufisadi wa kutisha wa viongozi kupitia CCM.

China wamefungua daraja lenye urefu wa km 41.3 baharini na limegharimu USD 1.4Bilion

Daraja letu la Kigamboni lina urefu wa mita 600 baharini na limegharimu USD million 136

China: 1,400,000,000÷ 41300=
33,898.305085 USD, kwa Ujenzi wa mita moja ya Daraja China.

136,000,000 USD :- 600= 226,666 USD

Gharama ya kila Mita 1 kwa Tshs.

1840 X 226666
417, 065,440/-Tshs

Gharama ya kutengeneza 1 moja ya daraja Kigamboni.

Na
417065440X 600
=
250,239,264,000/-

Yaani 250.3 Bilion Tshs. kwa Ex.Rate ya 2840 Tshs sawa na dola 1 ndiyo ilitumika kujenga na kukamisha daraja la Kigamboni.

Kwakutumia uwiano sahihi wa China kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni lililojengwa na Wachina, ilitakiwa kuwa hivi:

33,898.305085 x 600= 20,338,980 USD sawa

20,338,980 X 1840
=37,423,723,200 Tshs

Yaani Bil.37.4 Tshs.

Ndiyo ilitakiwa kugharimia daraja la Kigamboni kwa mujibu wa gharama halisi kwa kulinganisha na gharama iliyotumika Uchina kutengeneza Mita 1 ila gharama iliyotumika Tz imekuwa juu ya ile ya Uchina kwa zaidi ya 660%.

TOFAUTI YA GHARAMA

250,239,264,000 - 42,423,723,000
=212,815,541,000/-

Maana yake, gharama ya kutengeneza daraja la Tz Kigamboni zaidi ya ile ya China (Inflated value) ni 212,815,541,000/- Tshs.

MAONI YANGU

1. Kufanyike uhakiki/audit na chombo huru ya matumizi ya fedha za umma kubaini ukweli maana haiwezekani gharama za Tz ziwe juu ya gharama za uchina.

2. Ikibainika kuwa ni kweli, adhabu ya wanaofanya ufujaji wa fedha za umma namna hii wanastahili kunyongwa hadi kifo.

Share ujumbe huu na wananchi wengine ili tudai haki ya matumizi sahihi ya fedha za umma na kuwaeleza watawala wajue hatutaki uovu ktk matumizi ya fedha za umma unaoathiri maisha ya wanyonge.

Wakati unatafakari hayo....kumbuka:-

*ukosefu wa ajira

*hali mbaya ya huduma ya afya.

*hali mbaya ya huduma ya elimu.

*vijana wanakosa mikopo n.k

Toa maoni yako kuhusu ufisadi na watendaji kuongeza gharama kwenye makaratasi wakiibia wananchi na mazoea ya chama cha mafisadi kulinda na kuhifadhi mafidadi papa ila wakifanya kushugulikia mafisadi vidagaa.

Je, Magufuri si alikuwa Waziri katika serikali iliyopita?

Aliishauri nini serikali ktk hili? Je, hii cost inflation anaifumbia macho? Ameridhika nayo?
 
tunaaambiwa mheshimiwa ni sawa na mwanafunzi wa mtume SAW

ila kwa taarifa yako hawa jamaa wa NSSF walikuwa vizuri sana wakati wakisain mkataba kwani walikubaliana exchange rate itabaki fixed mda wote wakati wa malipo, na exchange rate iliyotumika kulipa fedha zote ilikuwa 1520.00
 
Gharama ya ujezi wa daraja la kigamboni ni Tsh bilion 218, na mkataba ulikuwa kwa exchange rate ya 1560 miaka mitatu iliyopita

anzia hapo kufanya mahesabu

kisha elezea gharama za ku import materials kutoka nje

then endelea na analysis yako
 
Usipite juu ya daraja hilo kwa mpaka upate maelezo ya kina kutoka kwa rais aliyelizindua bila kuona huo ufisadi..
Komaa ndugu
 
Wakuu hii kitu ilikwisha jadiliwa kwa mapana yake lakini bado inajirudia sidhani kwamba ni sawa.
Ni wakati sasa wa kuangalia mbele Daraja tumelipata tena ni "state of the art".

Habari hii inalenga kwenye character assassination.

Acheni majungu yasiyo kuwa na manufaa kwa jamii
 
HIVI WATU KAMA HAWA UNAKUTA HAWANA KAZI AU INAKUWAJE MTU ANAKAA AJUI HATA HESABU VIZURI NAPOTEZA MDA WAKE KUANDIKA VITU HATA HAKINA KICHWA WALA MIGUUUUUUUUUUUU,
 
Jibu hoja kwanza
 
Hamna kitu hapo, pumba tupu. Bygones are Bygones.
 
WASTANI WA GHARAMA ZA UJENZI WA MITA 1 TZ NI =417,065,440/-

Lakini China ni
62,372,872/- tu. Kwa mita 1.

Gharama ya Tz zimefanywa kuwa kubwa kuliko ya China kwa zaidi ya 660%.

Gharama ya ziada Tz ukilinganisha na China ni 212,815,541,000/-

Na, Solomon Michael Kambarangwe

Nifuateni....twende pamoja kwa ufafanuzi.

Ndugu wananchi wenzangu, kwa mtu anayejielewa na kufuatilia mambo ya nchi yetu hata tofautiana na mimi kuwa watendaji wa chama cha mapinduzi (CCM) mara nyingi yaani kwa 99% hawawezi kufanya maunuzi bila kuibia Watz masikini kupitia manunuzi hayo

Yaani wao ni tabia na jadi kwao na mara nyingi asiyekubali kuchakachua kupitia shughuli za ofisi ya umma hupata maadui wa makada wa ccm.

Nimefanya udadisi wa gharama za ujenzi wa daraja la Kigamboni baada ya kuelezwa gharama iliyotumika na kulinganisha gharama za ujenzi wa daraja la kupita baharini nchini China lenye urefu wa Km 41.3 refu sana kuliko la Kigamboni.

Baada ya ulinganifu huo nimegundua kuwepo kwa kila dalili ya ufisadi mkubwa sana ktk ujenzi wa daraja la Kigamboni japo viongozi wa serikali ya ccm hawataki hilo lisemwe.

BAADHI YA KUMBUKUMBU ZA UFISADI WA SERIKALI YA CCM KATIKA MANUNUZI NA UTEKEREZAJI WA MIRADI

1. Manunuzi ya Magari hewa yenye thamani ya 4.3 Bilion CAG report ya 2009

Ilidaiwa na wakala wa manunuzi wa magari ya serikali kuwa yalizama baharini yakisafirishwa kutoka Japan.

Kamati ya bunge ilienda kuthibitisha ikakuta hakuna hata karatasi wala ofisi ya wakala huyo. Ila viongozi wa umma waliishakuwa kimya na pesa zilimezwa na mafisadi.

2. Mradi wa ujenzi wa Magorofa Pacha ya BoT ulidaiwa kugharimu zaidi ya Bilion 522.4 Tshs. Gazeti la MwanaHalisi la April 20, 2011 lili-report.

Wizi huu ulifanyika wakati wa serikali ya Mkapa.

3. Manunuzi ya Radar

Bei halali ya Radar sokoni ilikuwa Pound 12 Mil ila serikali ilidai imenunua Radar kwa Pound 40 Mil. Yaani mafisadi wa ccm waliongeza na kuibia Watz Pound 28 Milion

Kwa Sh.ya Tz ikiwa £1 = 2300 wakati huo

28,000,000 X 2300
=64,400,000,000/- Tshs ziliibwa kupitia manunuzi hayo.

Hiyo ni mifano michache tu inayoeleza ufisadi wa kutisha wa viongozi kupitia CCM.

China wamefungua daraja lenye urefu wa km 41.3 baharini na limegharimu USD 1.4Bilion

Daraja letu la Kigamboni lina urefu wa mita 600 baharini na limegharimu USD million 136

China: 1,400,000,000÷ 41300=
33,898.305085 USD, kwa Ujenzi wa mita moja ya Daraja China.

136,000,000 USD :- 600= 226,666 USD

Gharama ya kila Mita 1 kwa Tshs.

1840 X 226666
417, 065,440/-Tshs

Gharama ya kutengeneza 1 moja ya daraja Kigamboni.

Na
417065440X 600
=
250,239,264,000/-

Yaani 250.3 Bilion Tshs. kwa Ex.Rate ya 2840 Tshs sawa na dola 1 ndiyo ilitumika kujenga na kukamisha daraja la Kigamboni.

Kwakutumia uwiano sahihi wa China kwa ujenzi wa daraja la Kigamboni lililojengwa na Wachina, ilitakiwa kuwa hivi:

33,898.305085 x 600= 20,338,980 USD sawa

20,338,980 X 1840
=37,423,723,200 Tshs

Yaani Bil.37.4 Tshs.

Ndiyo ilitakiwa kugharimia daraja la Kigamboni kwa mujibu wa gharama halisi kwa kulinganisha na gharama iliyotumika Uchina kutengeneza Mita 1 ila gharama iliyotumika Tz imekuwa juu ya ile ya Uchina kwa zaidi ya 660%.

TOFAUTI YA GHARAMA

250,239,264,000 - 42,423,723,000
=212,815,541,000/-

Maana yake, gharama ya kutengeneza daraja la Tz Kigamboni zaidi ya ile ya China (Inflated value) ni 212,815,541,000/- Tshs.

MAONI YANGU

1. Kufanyike uhakiki/audit na chombo huru ya matumizi ya fedha za umma kubaini ukweli maana haiwezekani gharama za Tz ziwe juu ya gharama za uchina.

2. Ikibainika kuwa ni kweli, adhabu ya wanaofanya ufujaji wa fedha za umma namna hii wanastahili kunyongwa hadi kifo.

Share ujumbe huu na wananchi wengine ili tudai haki ya matumizi sahihi ya fedha za umma na kuwaeleza watawala wajue hatutaki uovu ktk matumizi ya fedha za umma unaoathiri maisha ya wanyonge.

Wakati unatafakari hayo....kumbuka:-

*ukosefu wa ajira

*hali mbaya ya huduma ya afya.

*hali mbaya ya huduma ya elimu.

*vijana wanakosa mikopo n.k

Toa maoni yako kuhusu ufisadi na watendaji kuongeza gharama kwenye makaratasi wakiibia wananchi na mazoea ya chama cha mafisadi kulinda na kuhifadhi mafidadi papa ila wakifanya kushugulikia mafisadi vidagaa.

Je, Magufuri si alikuwa Waziri katika serikali iliyopita?

Aliishauri nini serikali ktk hili? Je, hii cost inflation anaifumbia macho? Ameridhika nayo?
Yerico si aliandika mkamuona chizi? Tafta uzi wake
 
Alafu kuna waliodumaa akili wanakuja hapa wanampigia makofi, ndio maana hataki bunge lionyeshwe ili yasitumbuliwe, hakuna mtu yeyote yuko CCM na sio mwizi hata mtu wa kaida ukimuuliza kwa nini anaiunga mkono, utasikia kuna tenda tetapendelewa,kuna vikao tutaitwa vina posho, tutapendelewa kufagia mtaa,kuna kazi nitapendelewa kuipata. wanafikira kuiba tu, na ndio maana hata mpaka sasa wanaonyesha maigizo ya kutumbuana wenyewe
 
Nchi zilizoendelea wanawekeza zaidi katika elimu ya sayansi na teknolojia, nchi maskini zinaongeza elimu ya kupiga porojo.
 
Hilo daraja bora wangeliita DAU bridge.kuliita nyerere angali ni ufisadi mtupu ni kumdhihaki hayati baba wa taifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom