Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Jamani leo nimekutana na huyu mtu wa Harrier si kuwa nime crash nae ni kuwa ameniletea msala barabarani.
Ilikuwa hivi niko mandela road alfajiri leo kuna mahali nilikuwa nawahi sasa kufika eneo la mwananchi pale kwenye kiungio cha reli kuna mashimo na leo nilikuwa na ka baby walker so nikapinda kulia kukwepa mashimo kisha nikarudi main road ili niendelee maana kuna siku nilipota hapo kwa speed nikayavaa mashimo tairi ikatoka kwenye rim.
Sasa nyuma yangu ndo kulikuwa na hii harrier ilikuwa inakuja ikataka kunipita wakati mie nakwepa shimo ile narudi barabarani akawa kama kaniblock kwa mbele.
Tukatupiana maneno hapo kisha nikamwambia nenda basi muda unaisha maana ningekuwa nakata kona ningewasha indicator.
Aliniboa baada ya kuondoka akakaa site ya kulia mie nikapita ya kushoto akawa anaendesha kawaida, kwa vile nilikuwa na haraka nikakanyaga mafuta baby walker yangu nimpite nae akakanyaga wese baada ya kuona nampita nusura amgonge mtu wa bodaboda yaani aliniboa mnoo na ndo ilikuwa alfajiri.
Yaaani wewe harrier T...BXL popote ulipo ulichonifanyia leo sijakipenda hata.