Harmonize unamuimbia nani Kiingereza?

Tangu Magufuli awe Rais kumekuwa na idadi kubwa ya watu kulalamika wakiona Kiingereza.

Kwani kuna ulazima gani wa wewe kukomalia 'threads' au nyimbo zenye lugha usioifahamu
Alafu yeye mwenyewe hapo kaweka kakiingereza uchwara
 
hivi hiyo living dead kwa kiswahili fasaha ni nini?
marehemu anaeishi? Na je kinachoishi kinaweza kuwa marehemu? Au katika ulimwengu wa kiroho.
Mkuu, Leaving Dead maana yake ni mfu anayeishi na siyo marehemu anayeishi. Wajuvi wanaweza kosoa pia
 
Back
Top Bottom