Harmonize unamuimbia nani Kiingereza?

Kizungu kipi unachoongelea kifaransa,kidachi,kireno au

Ukisikia watu wanasema kizungu wanamaanisha kiingereza, kwasababu hata hao wadachi na Wareno wakiingia Tanzania hiyo ndio lugha wanaotumia kuwasiliana na watu.
 
Moja kwa moja naenda na mada tajwa hapo juu

Mtajwa jina hapo juu kwama tutakua pamoja humu JF maombi yangu kama shabiki kindakindaki

I beg you very much, utuimbie nyimbo za kiswahili tu hivi karibuni umekua tofauti sana unaimba nyimbo zenye lugha ya Kiingereza binafsi naona unatukosea

Of the heart

Exalioth
analenga international audience
 
harmo.JPG
 
Moja kwa moja naenda na mada tajwa hapo juu

Mtajwa jina hapo juu kwama tutakua pamoja humu JF maombi yangu kama shabiki kindakindaki

I beg you very much, utuimbie nyimbo za kiswahili tu hivi karibuni umekua tofauti sana unaimba nyimbo zenye lugha ya Kiingereza binafsi naona unatukosea

Of the heart

Exalioth
Dadangu mbona nyimbo za kingereza tunazisikiliza hapa nchini tangu enzi za mwalimu?
Umekwama mahali mrimbwende,, club nyingi zinapiga nyimbo za kingereza na tunazipenda sana. Au kingereza cha lafudhi ya kimakua kinakupa shida?
 
Back
Top Bottom