Rayvanny amuwakia vibaya Harmonize kwa kumtumia picha za utupu Paula

Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya konde gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi imechukua Sura mpya.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram , Vannboy amemuwakia vibaya Harmonize Kwa kile kilichodaiwa kumtumia picha za utupu Paula wa kajal Kwa Nia ya kutaka kumsambazia upendo huku akitambua yupo kwenye mahusiano na mama yake mzazi .....

Ikumbukwe kuwa ni wiki chache zimepita tangu sakata zito la Rayvanny kupost video za faragha akiwa na Paula Hali iliyoibua mjadala mkali miongoni mwa wadau mbali mbali nchini na kama hyo haitoshi Jambo hlo lilifika mpak vyombo vya Sheria huku Harmonize akidaiwa kuongoza mashitaka hayo.

Sakata hili linaibuka ambapo pia Harmonize anatuhumiwa kumtishia kumuua sambamba na kumtukana matusi Mwanadada Presenter Maimartha Jesse...huku pia mwanadada huyo akitishia kumpeleka mahakamani Harmonize

Anaandika Rayvanny

" Dunia inamaajabu yake lakini sijawahi ona mtu wa ajabu kama wewe my bro @harmonize_tz Ni binadamu wa aina gani wewe ambae unataka kua na mama na mtoto pia tena kwa nguvu zote na unatuma hadi utupu wako bila hata kuogopa nafasi ulionayo kwenye jamii kujidhalilisha kua kama ulivyozaliwa na angali wewe ni kioo cha jamii.

Ni roho ya ajabu sana ulionayo yani KILA NIKIKUWAZA SIPATI JIBU NDUGU YANGU. Ulikua unawapigia simu viongozi mbalimbali juu ya swala langu mimi sasa nawaza leo hii utawaangaliaje ??

Wewe ni balozi wa kampuni na zimekupa heshima kama balozi sasa nawaza unapata wapi ujasiri wa kutuma utupu wako ni kampuni gani inakubali fedheha hii na je wanakuonaje kwa kitendo hiki ulichokifanya kinachodhalilisha wanawake hasa mama ? Hivi hukumfikiria mama ambae aliekupa heshima wewe na kukuweka karibu na kukutambulisha familia yake ?

Yani unataka ukatembee na mwanae wa damu yani mwanae wakumzaa? LEO HII MWANAO WAKIKE AKIKUA AKASIKIA UCHAFU HUU ANAKUONA NI BABA WA NAMNA GANI WEWE UNAEMTAKA MAMA NA MTOTO ?

USHAURI WANGU: OMBA RADHI KWA WAZAZI NA KINA MAMA NIKIWA NA MAANA WANAWAKE AMBAO NI MAMA ZETU WANASTAHILI HESHIMA SIO KUDHALILISHWA KAMA ULIVYO FANYA WEWE NA UNAIGIZA KAMA HAKIJATOKEA KITU.....

UKIHESHIMIWA BASI JIHESHIMU

View attachment 1749664
Ila kwa zile chat ina onekana asha kavunja.
 
Daaa wanaume huwa tuna tamaa sana,harmonize asilaumiwe kama ni kweli,hebu vaa viatu vya harmonize ungekuwa ww ungeweza kuvumilia kuona katoto chuchu dodo kama paula kakijitipisha mbele yako?sema harmo kaenda less sana kwa paula angeenda slow slow mbona angetafuna kuku na mayai walahi!
Kwa chati zile usha kula vyombo
 
Y Ray ameandika ya kazi za mwenzake.. wakati yeye ndio anayaanika yake!!! Hii ni zaidi ya nani kamvulia nani..
Wasanii wa Tanzania mabomu.. kwanza Harmo anaweza kuvita pesa zake zote akipata mwanasheria mzuri.

Mengine watajiju
 
vp Wajuba hapa kaliwa au bado
FB_IMG_16182174378249508.jpg
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii
Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 
We
Hajui kutongoza

unapotaka kutongozA binti wa demu wako.Familia lzm ziwe na uzungu wa kijinga.Formula inayotumika ambayo haitakutia aibu ni kujenga mazoea mabaya au yaliyopitiliza na mwanae kipindi mama mtu hayupo..

Yaani unamzoea mtoto vby sana story story za kijinga mixer kumsifia mama ake kimapenzi kiutani sana yaani mtoto akimuona mama ake anakumbuka maneno yako tu.Mtoto akiwaona pamoja anawaza ujinga unamwambia kuhusu sifa za mama ake.Kwanza story hizo zimejaa shauku na hamu ya kuzisikia,zinamfanya mtoto atamani kujua zaidi kipi kimekufanya uache vijana umtamani mama ake mtu mzima.Pili, zinamfanya ajione km mama yangu mtamu basi hata yeye atakuwa mtamu..

Ukishamjengea shauku ya kusikia utamu na uzuri wa mama ake atakuwa anatamani kusikia ujinga ujinga wako coz unamfanya aji compare automatic na mama ake..

Sasa anza maswali ya kijinga

hivi mtoto anaweza kuridhi utamu wa mama ake kweli?akisema ndio,we unakataa tu haiwezekani mama lazima awe mtamu zaidi

Halafu siku zote mwambie mama ako amekuzidi kila kitu mixer kumwambia kuna vitu kakupunja hajakurithisha haya unayasema kwenye story story zenu na mazoea ya kijinga mkiwa wawili...

Ukielekea chumbani na mama ake yeye muage kitofauti as if ndo naenda hivyo kumtafuna maza ako.Mlingishie flani hivi

Si mnajifanya mna uzungu mwingi mixer kucheza pamoja??siku cheza nae. Mbambie makusudi kwa mbali mbali dindisha mguse nao kwa mbali mbali msome reaction yake.

Kifupi inahitaji ujanja mwingi sana ,mwendo wa kobe,mbinu za kutosha na mazoea mabaya

Yote kwa yote ili uweze kumtafuna mama na mwanae lazima na wao wawe na kaasili kalaana,mbinu zinaweza kukusaidia ila sio mara zote.
Jamaa ni pepo
 
Kimasihara yani
 
Back
Top Bottom