Harmonize na Jackline Wolper Wapigana (PICHA)

Hayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku nyingiiiiii.. nadhani utakuwa ushaziona hizi picha..nimeweka basi tu!View attachment 361990
SAMAHANI LAKINI!!!......
Nyie wanaume wa moto mumepatwa na nini
 
Hayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku nyingiiiiii.. nadhani utakuwa ushaziona hizi picha..nimeweka basi tu!View attachment 361990
SAMAHANI LAKINI!!!......
pombe imeiingia maahali yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom