Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,217
- 22,610
- Thread starter
- #41
Kanikazia kabisa anasema ni Omega ananirekebisha..Mashoga Na mieleka wapi Na wapi sheikh...wao wanafatilia Nirvana Na wanawake live
Kanikazia kabisa anasema ni Omega ananirekebisha..Mashoga Na mieleka wapi Na wapi sheikh...wao wanafatilia Nirvana Na wanawake live
Sawa puff daddyHapana Arnold na Rambo umri umewatupa mkono both of 'em wanamiaka 70+ unategemea waendelee kuwa vilevile.
Nani anawadharau mkuu?Ndio man wamakonde tunadharaulika sana
Hapana Arnold na Rambo umri umewatupa mkono both of 'em wanamiaka 70+ unategemea waendelee kuwa vilevile.
Hivi Hamo ndo alianguka na makalio uwanjani akijaribu kuiga kazi za watu??😂Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde...
Nawasilisha
Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake na role model wake maana ndie aliyemfundisha.