PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

PreGE2025 Harmonize asema atagombea Ubunge Jimbo la Tandahimba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,394
Reaction score
14,501
Mwimbaji Staa wa Bongo Fleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa.


Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambaye aliweka wazi kuwa anatamani Mwimbaji huyu akagombee Ubunge wa Tandahimba ingawa kwa wakati huo Harmonize alionekana kutokuwa tayari kugombea kiti hicho.

Hayati JPM alinukiwa akisema; "Lakini nampongeza sana Harmonize sijui anatoka Jimbo gani?, Tandahimba?, Mbunge wa kule ni nani?, (Katani), aah ningetamani sana Harmonize aende akagombee kule awe Mbunge wa Tandahimba"

Akiongea na Ayo TV kwa njia ya simu, Harmonize ambaye alizaliwa Kijiji cha Chitoholi Wilayani Tandahimba Mkoani Mtwara, amesema alichokiandika saa kadhaa zilizopita kuhusu dhamira ya kugombea Ubungo sio kitu cha utani bali anamaanisha ambapo muda ukifika atakwenda kuchukua fomu kupitia CCM ili aombe ridhaa ya Chama hicho kimpitishe kugombea.
 
Mwimbaji Staa wa Bongofleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize @harmonize_tz ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa.

Kabla ya kuongea na @millardayo na kuthibitisha dhamira yake hiyo, Harmonize aliandika maneno yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram "Tandahimba Member of Parliament 2025 Inshallah October ✓ CCM oyee

#SamiaMitanotena"

Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa 'best couple', alitajwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambaye aliweka wazi kuwa anatamani Mwimbaji huyu akagombee Ubunge wa Tandahimba ingawa kwa wakati huo Harmonize alionekana kutokuwa tayari kugombea kiti hicho.

Hayati JPM alinukiwa akisema ““Lakini nampongeza sana Harmonize sijui anatoka Jimbo gani?, Tandahimba?, Mbunge wa kule ni nani?, (Katani), aah ningetamani sana Harmonize aende akagombee kule awe Mbunge wa Tandahimba"

Akiongea na @AyoTV_ kwa njia ya simu, Harmonize ambaye alizaliwa Kijiji cha Chitoholi Wilayani Tandahimba Mkoani Mtwara, amesema alichokiandika saa kadhaa zilizopita kuhusu dhamira ya kugombea Ubungo sio kitu cha utani bali anamaanisha ambapo muda ukifika atakwenda kuchukua fomu kupitia CCM ili aombe ridhaa ya Chama hicho kimpitishe kugombea.
Ubunge ni wa kila mtu.
 
Kwa CCM hii hata makalio (misambwanda) yakitangaza kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM yatatangazwa washindi.
 
Mwimbaji Staa wa Bongofleva Rajabu Adbul Kahali maarufu Harmonize ametangaza rasmi dhamira yake ya kwenda kugombea Ubunge wa Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara ambako ndio alikozaliwa. Kabla ya kuongea na na kuthibitisha dhamira yake hiyo, Harmonize aliandika maneno yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram “Tandahimba Member of Parliament 2025 Inshallah October ✅ CCM oyee ”

Itakumbukwa October 15,2019, Harmonize ambaye kwa sasa ana-hit na wimbo mpya wa ‘best couple’, alitajwa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ambaye aliweka wazi kuwa anatamani Mwimbaji huyu akagombee Ubunge wa Tandahimba ingawa kwa wakati huo Harmonize alionekana kutokuwa tayari kugombea kiti hicho.

Hayati JPM alinukiwa akisema ““Lakini nampongeza sana Harmonize sijui anatoka Jimbo gani?, Tandahimba?, Mbunge wa kule ni nani?, (Katani), aah ningetamani sana Harmonize aende akagombee kule awe Mbunge wa Tandahimba”

Akiongea na kwa njia ya simu, Harmonize ambaye alizaliwa Kijiji cha Chitoholi Wilayani Tandahimba Mkoani Mtwara, amesema alichokiandika saa kadhaa zilizopita kuhusu dhamira ya kugombea Ubungo sio kitu cha utani bali anamaanisha ambapo muda ukifika atakwenda kuchukua fomu kupitia CCM ili aombe ridhaa ya Chama hicho kimpitishe kugombea.
-796128894.jpg
 
Huyu kijana wake alisema ana michezo ya kufukua tope, serikali na chama vime mkumbatia
Kwa jinsi wabunge wa CCM wanavyofukuana mitaro kule bungeni, huenda jamaa akawafaa sana.

Note:
Mwezi mmoja uliopita, mbunge Mwita Waitara aliongea bungeni kuomba mashine za kupima mashoga ziletwe na kufungwa haraka sana pale bungeni ili kuwapima wabunge maana uhitaji umekuwa mkubwa mnoo kwa wabunge wa CCM, na hoja yake iliungwa mkono vyema na wabunge waliokuwepo bungeni.
 
Kwa jinsi wabunge wa CCM wanavyofukuana mitaro kule bungeni, huenda jamaa akawafaa sana.

Note:
Mwezi mmoja uliopita, mbunge Mwita Waitara aliongea bungeni kuomba mashine za kupima mashoga ziletwe na kufungwa haraka sana pale bungeni ili kuwapima wabunge maana uhitaji umekuwa mkubwa mnoo kwa wabunge wa CCM, na hoja yake iliungwa mkono vyema na wabunge waliokuwepo bungeni.
😅😅 Sasa nime amini, wakati nashangaa shangaa mji wa Dar es salaam. Kuna mzee mmoja nikasikia anasema bungeni wanafanya uchafu.. basi ni hatari sana
 
Back
Top Bottom