Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,454
- 11,333
Kwahiyo kufa ndio kunamthibitisha huyo Mungu ndio kaniumba?kitu kizuri ni kwamba maadam umezaliwa utakufa tu mkuu na usiku wa kwanza kaburini utaelewa uliumbwa au ulievolve kutoka kwenye mti, subiri..
huko tunaita ni kujipa matumaini mkuu wewe niamini ninachokwambia utakufa na utakutana na yale yote uliyoshindwa kuyaamini ukiwa hai, kumjua yeye hakuthibitishwi na kifo hata maisha yako tu ni alama tosha angalia moyo wako unavyopiga unavyopata rizki yako unaumwa na kupona unaishi na kukua mpaka unakufa hayo yamepangwa kwa ustadi wa hali ya juu na hayajatokea burebure..Kwahiyo kufa ndio kunamthibitisha huyo Mungu ndio kaniumba?
Hivi hizo akili za kushikiwa hua mnazibebaje kwenye bongo zenu anakufa sisimizi,panzi,ngedere,nzi kwahiyo nao wakifa wanaanza kujua kua Mungu yupo?
Watu wanakufa kama zinavyokufa nyota huko angani hivyo ni nature ya kitu chochote katika universe law acheni vitisho vya kitoto Aisee
Mungu,Mungu,Mungu Hata huyo Mungu Atakufa kama vinavyokufa vingine maana katika Sheria za Ulimwengu Kila kitu lazima kife Kwa Muda mwafaka Hata Huu mfumo wa jua letu utakuja kufa mbeleni Yaani supernova!
Tusitishane na hekaya za kiabunuwasi hapa!
Unajua mtu masikini ni rahisi kumhasi mungu.Dini na imani ni chakula cha roho na kinga dhidi ya 'negative energy'
Kupata pesa na utajiri ni jitihada za akili na nguvu.
Wala usijaribu kukebei dini na imani kwa kisingizio cha pesa na utajiri..
Daima usifanye hilo kosa la kudharau dini na imani. Huo utajiri na mafanikio utapuputika.
Mungu hana uwezo wa kuchukua roho yangu!Sasa unasema Mungu hayupo pumzi unayovuta unaitoa wapi, na si ajabu hiyo pumzi akaichukua mda huu, watu wakikusanyika huku wakisema marehemu tulikuwa naye jana tu leo hatunaye,
hiyo pumzi siku akihihitaji ndo utajua kuwa yupo, siku akimtuma malaika mtoa roho ukiwa umetazamana nae face 2 face kwa mara ya Kwanza akiichomoa roho yako na kusepa nayo akiipeleka kwa Muumba.
Mkuu achana nae huyo Malaika mtoa roho atamuijia ampeleke akaonane na Mungu hapo kwa mara ya Kwanza ataonana na Mungu aliyesema hayupoTumefungwa na babu yako?
Na Mimi nakwambia utakufa na hutakutana na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu hizo ni hekaya za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian hazina ukweli wowote hao mnaowaita Mungu ni jamii za Annunaki wa kale ni pale watu wa kale wakashindwa kujua nao ni viumbe wa kawaida kama walivyo wao ila wanatoka garaxy za Mbali huko wakaamua wawaite Mungu Hata Babu yenu wa bandia Abraham baba ya Wayahudi aliwaahusudu kama miungu viumbe Hao Kwa sababu nae alitokea Kwenye jamii za waashuru wa kale waliocollaborate na viumbe hivyo na vikawapa ujuzi na maarifa ya Hali ya juu na wakianzisha civilization za kale,Leo nyie mmekopi hekaya hizo za kina ibrahim na kuzimeza kama zilivyo mkidhani Kila mtu ataendelea kua mtumwa na mjingahuko tunaita ni kujipa matumaini mkuu wewe niamini ninachokwambia utakufa na utakutana na yale yote uliyoshindwa kuyaamini ukiwa hai, kumjua yeye hakuthibitishwi na kifo hata maisha yako tu ni alama tosha angalia moyo wako unavyopiga unavyopata rizki yako unaumwa na kupona unaishi na kukua mpaka unakufa hayo yamepangwa kwa ustadi wa hali ya juu na hayajatokea burebure..
Kama hauna cha kuchangia ni busara kukaa tu kimya ndugu si lazima kila uzi uchangie,,Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!
Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
haya mkuu subiri mimi nasubiri..Na Mimi nakwambia utakufa na hutakutana na kiumbe chochote kinachoitwa Mungu hizo ni hekaya za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian hazina ukweli wowote hao mnaowaita Mungu ni jamii za Annunaki wa kale ni pale watu wa kale wakashindwa kujua nao ni viumbe wa kawaida kama walivyo wao ila wanatoka garaxy za Mbali huko wakaamua wawaite Mungu Hata Babu yenu wa bandia Abraham baba ya Wayahudi aliwaahusudu kama miungu viumbe Hao Kwa sababu nae alitokea Kwenye jamii za waashuru wa kale waliocollaborate na viumbe hivyo na vikawapa ujuzi na maarifa ya Hali ya juu na wakianzisha civilization za kale,Leo nyie mmekopi hekaya hizo za kina ibrahim na kuzimeza kama zilivyo mkidhani Kila mtu ataendelea kua mtumwa na mjinga
Hapana nimeamka haabudiwi kiumbe yeyote hapa Mimi ndie Mungu mkuu wa maisha yangu!
Usubiri nini wewe survive duniani hapa hakuna kiumbe tegemezi ambaye atakupa free lunch maisha ni mapambano until your last breath mkuu,ukifa umekufa huna Kwa kwenda Kwa sababu kabla ya kuzaliwa hukuwa sehemu yoyote nyingine ni hekaya tu na kua mtumwa wa kujitesa na kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo na hakitokwepohaya mkuu subiri mimi nasubiri..
Hongera yakoMungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!
Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Shetani mwenyewe anakiri MUNGU yupo na ana nguvu! Rejea kisa cha Mussa na Farao, kuna dhambi ambayo Farao alikua anaitenda kwa kujiita ye ni mungu hii dhambi hata shetani aliamua kumkataa Farao akamtokea live kumhubiria kua Mungu wa kweli yupo ila sie yeye mpuuzi na mwendawazimu (Farao).Kesha unafanya kazi,
siyo ukeshe unaomba Mungu, ambaye kiuhalisia hayupo.
Mara mia ukeshe usiku kucha unamuomba mwanadamu mwenzako, atakupa msaada.
Umekula Maharage ya wapi Mkuu?Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!
Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.
Yawezekana hauko sawa ila hujajitambua. Nikushauri tu, waone watu unaoamini wana maadili (kiimani) wakupe nasaha, itakusaidia sana.Mungu Kama yupo au kama hayupo, mimi hainihusu!
Huyu Mungu hanisaidii kwa chochote, wala hanisaidii kwa lolote!
Maisha yangu hayahitaji wala hayategemei Mungu.