n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,006
- 2,667
Huyu singasinga ambaye ni mkurugenzi wa PAP nilikuwa sijapata kumsikia kama mwekezaji wa umeme hapa nchini lakini ameibuka ghafla baada ya gazeti la The Citizen kuandika habari juu ya kampuni yake ya PAP kununua ITPL kinyemela.
Juzi alisema kwenye mkutano na vyombo vya habari ambapo alimwaga Sh350,000 kwa kila mwandishi wa habari aliyekuwepo kuwa anatokea Dubai.
Mtaani kuna tetesi kuwa huyu jamaa anatumiwa na watu wanaomiliki PAP na mojawapo ya majina yanayohusishwa na kampuni hiyo ni mkwe wa bwana mkubwa.
Mwenye taarifa zaidi anaweza kusaidia.