Harbinder Singh Sethi aliyenunua IPTL ni nani?

Harbinder Singh Sethi aliyenunua IPTL ni nani?

What I know hawa jamaa walilipa kodi bilioni 32 labda kama kodi ilipaswa kuwa bilioni 58.

Kodi nyingine wamekuja kulipa huku!!
Sasa kama kamishina aliandika barua kutaka walipe kodi hara aliyepinga mchakato wa katiba mpya akamwambia Singa Singa alilipe sasa hiyo yako ilikuwa kodi ipi??
Maana aliyetakiwa kulipwa anasema Mamlaka yake hijapata kodi sasa hiyo unayosema wew ililipwa TRA IPI??
Who can over rule the power of Commissioner ??

images


Mr Harbinder Singh Seth akitoa Shs11,000,000 kwa George Kashushura, Kiongozi wa SACCOSS ya Kanisa la MT RITTA KIMARA DSM .Pesa hiyo imetolewa tarehe 21/3/2014 siku chache baada ya kukwapua fedha BOT

Hapo yupo na mwanasheria wa PAP aitwaye JOSEPH MAKANDEGE ambaye ndiye amemuunganisha Singa Singa (tapeli ) na Makanisa.Hata hivyo zipo taarifa kuwa Albert Marwan a Singa Singa huyo ni pete na kidole !!

 
Naona Rostam na huyu Singasinga kwa niaba ya CCM wanatudharau sana Watanganyika halisi!

Unqualified Mzenj ni waziri wa fedha Tanganyika
Tumepewa Msomali kuwa boss pale TRA!

Dentist wa Tembo yuko above the law!Oh my God!
 
Wapi TISS wetu jamani? Issue kama hizi zilikuwa wawe wamesema lolote. Au kazi yao ni kudeal na kina chadema, madaktari na walimu tu? Mara meno ya tembo na sasa wameingia hadi BoT kwa mara ya pili bado wao wamepiga kimya tu! Wapi uzalendo wao kwa wanaowalipa mshahara? Hebu watuonee huruma sisi tunaojichangisha vikodi vyetu kuwalisha na kuitunisha hazina yetu. Na huu mtindo wa familia za watawala kukimbilia kwenye kihenge kujichotea tuuu ni kitu gani? Hii ni aibu kiukweli hata mkituchekea mhmh! Hapana. Wawajibishwe wote bila kuangalia sura.

Mhh! napata wasiwasi inawezekana yule mwenzao na hawa TISS waliyemuua juzi pale uwanja wa ndege JKN inawezekana kwa mambo kama haya kwani kwa utawala huu unapopingana nao basi ROHO yako ni halali yao.
 
Hiyo hela sio mali ya serikali, BOT walikuwa wanaitunza tu (ref: JK vs EPA)
Kanchi katamu haka..
 
Some issues are disgusting! IPTL imekataa kuzikwa mazima...inafufuka upya every step of the way. Naona kuna kitu inakitafuta..aliyeanza nayo ajiandae kumaliza nayo,lol!
 
Wee kijana inaonekana mabwana zako wamekupatia tonge la kutosha ili kuja kuleta mihemko ya kuwalinda hapa jukwaani.
Kwani aliye iba kwa kalamu ,hutetewa kwa kalamu lakini pia kalamu hiyo hiyo hutumika kuwahukumu kifo ama jela kwa kila mhujumu mwana c.c.yem yeyote.japo kwa hapa kwetu hali si shwari mambo ni tia maji tia maji.
'willafrica'
 
[h=1]UK envoy speaks out on IPTL $122m controversy[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating
british.png
British High Commissioner to Tanzania, Dianna Patricia Melrose speaks at Mwananchi Communications Ltd (MCL) office which is located at Tabata Relini in Dar es Salaam yesterday. PHOTO|SALIM SHAO
By Florence Mugarula ,The Citizen Reporter

Posted Wednesday, May 7 2014 at 00:00
In Summary

  • Ms Dianna Melrose commends the decision by the Public Accounts Committee and Controller and Auditor General to investigate the Sh198.25 billion transaction saga


SHARE THIS STORY

0
inShare​







Dar es Salaam. The United Kingdom and other development partners are concerned about the controversy surrounding the acquisition of Independent Power Tanzania Limited (IPTL), the UK's high commissioner to Tanzania said yesterday.

Ms Dianna Melrose commended the decision by the Public Accounts Committee (PAC) and Controller and Auditor General (CAG) to investigate the $122 million (Sh198.25 billion) transaction saga.

She also confirmed that she wrote to the Bank of Tanzania (BoT) governor, Prof Benno Ndulu, seeking to know on what grounds were the escrow billions released to Pan African Power (PAP) Solutions Limited while the main case was still pending before an international tribunal.

The UK envoy was speaking during a visit to the Mwananchi Communications Limted (MCL) head offices.

She said the IPTL issue was of "great concern" to the British government, adding that the high commission hadalready communicated with the relevant ministers in addition to writing to the BoT governor.

"We wrote to the BoT governor asking for elaboration after learning something about the escrow account," Ms Melrose said.

According to the envoy, the UK government was pleased that the matter was now being investigated and that there would be a comprehensive report on what really transpired.

"Let's wait for the results and see what really happened," she said.

However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzania's energy sector in the next financial year. "The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue," she said.

PAC in March ordered an audit to establish how PAP was paid billions of shillings from an escrow account after the company claimed it first bought 70 per cent of Malaysian firm Mechmar for an undisclosed amount and then acquired 30 per cent of VIP Engineering and Marketing for $67.5 million (Sh109.14 billion).

In terms of reference revised by the CAG and endorsed by PAC last week, the parliamentary oversight committee, among other things, directed that an investigation be carried out to establish whether the acquisition of the 70 per cent stake in IPTL was legal.

The CAG will also investigate the circumstances that allowed IPTL, which was under liquidation, to sell the stake to a new investor in 2010 as claimed by PAP executive chairman Harbinder Singh Sethi.
 
Wizara ya Nishati na Madini sijui awekwe nani pale ili angalau watanzania wapumue... Godwin Ngwilimi mwanasheria wa TANESCO amejiuzulu? Tafadhali mwenye data atumwagie hapa jamvini...

Kbisa tupeni habari zaidi za huyo mwanasheria wa tanesco wakuu..
 
Hii ccm inanitia hasira sana,ndo maana kila nikimuona mtu anaipamba ccm,huwa lzm tugombane
 
Tunataka feedback yenye mtazamo chanya ama mbivu au mbichi.......tumechoshwa na ufisadi nchi hii!
 
Back
Top Bottom