SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
IPTL goes back to 1994 waliozaliwa siku nyingi wanaikumbuka
Ndiyo mkuu nimekumbuka. FARAO.
IPTL goes back to 1994 waliozaliwa siku nyingi wanaikumbuka
HUyo mhindi anaishi gorofa ya tano hoteli fulani hivi karibu na ufukwe wa bahari hindi, namba yake ya simu ni 0767......., huyo wakili wake anaye nduguye ambaye ni graduate wa UDSM Law, ni mkenya na ana asilimia 2 katika firm ya huyo wakili, huyo wakili wa singa singa alikua DBLS TRA for more than 10 yrs na ni rafiki wa karibu na mkuu wa kitengo cha DBLS TRA, wewe unahitaji kujua zaidi ya hapo??Wapi TISS wetu jamani? Issue kama hizi zilikuwa wawe wamesema lolote. Au kazi yao ni kudeal na kina chadema, madaktari na walimu tu? Mara meno ya tembo na sasa wameingia hadi BoT kwa mara ya pili bado wao wamepiga kimya tu! Wapi uzalendo wao kwa wanaowalipa mshahara? Hebu watuonee huruma sisi tunaojichangisha vikodi vyetu kuwalisha na kuitunisha hazina yetu. Na huu mtindo wa familia za watawala kukimbilia kwenye kihenge kujichotea tuuu ni kitu gani? Hii ni aibu kiukweli hata mkituchekea mhmh! Hapana. Wawajibishwe wote bila kuangalia sura.
Mkuu kazi ya TISS ilibadilishwa siku hizi wanajukumu moja tu la KUSHAURI!!! Enzi zile walikuwa wanafanya threat analysis na ikibidi wana take action kimya kimya!!! Yote haya yalifanyika chini ya utawala wa BWM...
hapa adhabu kubwa sanaa ni hizo pesa zirudi mpaka senti ya mwisho,,
Nyaraka zote za EPA ziliandikwa kwa kizungu lakini wizi uligundulika!
Kiingereza kimetoka kwa Waingereza ambao Balozi wao ametoa angalizo la kusitisha misaada zaidi ya Shs177Billion kwenye bajet ya mwaka huu, je hulioni hili??
Ina maana hata CAG ambaye ameomba ana ananza ukaguzi hajui Lugha??
Pinda aliyetaka ukaguzi ufanyike hajui lugha??
Kule Bungeni Wabunge wa CCM hawakutoa hoja hiyo ina maana hawajui lugha??
Hebu fafanua hii Kwa jinsi unavyofahamu wewe!!
However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzanias energy sector in the next financial year. The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue, she said.
Hiyo haimaanishi msaada umesitishwa. Na hiyo niliyokuwekea bold, inamaanisha kuwa msaada utatolewa.
IPTL goes back to 1994 waliozaliwa siku nyingi wanaikumbuka
1995-2005Minister for Foreign Affairs and International Cooperation
1995-2005Member of Parliament for Chalinze Constituency
1994-1995 Minister for Finance
1990-1995 Member of Parliament for Bagamoyo Constituency
1990-1994 Minister for Energy, Minerals and Water Development
1988-1990Deputy Minister for Energy and Minerals
Sijui ni nani aliyefanyia amendments ule wigo wa kukusanya taarifa, kuanalyse na kuchukua action pale inapoonekana kuna sababu ya kufanya hivyo...wala sitaki kumjua, ilauhalifu wa Tanzania nachelea kuuita uhalifu kwa kuwa ni michezo tu ya watoto wa mjini wanaotumia advantaje ya kutopenda kwetu kufuatilia mambo kupiga tu hela..
Hautuhitaji hata ofisa wa ngazi ya wilaya (D.S.O) kujua/kufatilia uhuni unaoendelea maeneo anuai ambayo kwa kiwango kikubwa ni uhujumu wa uchumi usio na SI unit...Taarifa zinakusanywa, na nina hakika zinafika zilikokusudiwa,ila kwa sababu ya upofu/ukiziwi wa kujitakia watawala wetu wanaweza kukutuma tena ukamshauri mhujumu/mwizi badala ya kuchukua proper action juu yake...
Kodi nyingine wamekuja kulipa huku!!
Sasa kama kamishina aliandika barua kutaka walipe kodi hara aliyepinga mchakato wa katiba mpya akamwambia Singa Singa alilipe sasa hiyo yako ilikuwa kodi ipi??
Maana aliyetakiwa kulipwa anasema Mamlaka yake hijapata kodi sasa hiyo unayosema wew ililipwa TRA IPI??
Who can over rule the power of Commissioner ??
![]()
Mr Harbinder Singh Seth akitoa Shs11,000,000 kwa George Kashushura, Kiongozi wa SACCOSS ya Kanisa la MT RITTA KIMARA DSM .Pesa hiyo imetolewa tarehe 21/3/2014 siku chache baada ya kukwapua fedha BOT
Hapo yupo na mwanasheria wa PAP aitwaye JOSEPH MAKANDEGE ambaye ndiye amemuunganisha Singa Singa (tapeli ) na Makanisa.Hata hivyo zipo taarifa kuwa Albert Marwan a Singa Singa huyo ni pete na kidole !!
Bongo kila siku picha mpya tu.
Ok tusiseme mengi kwa waswahili wanasema ""Cha mlevi ..."