Nimeisoma hiyo hadithi kwenye post
#1 , sijaona mpaka sasa tatizo ni nini?
Naona mambo ya kawaida kibiashara, kulikuwa na mgogoro wa wabia wawili, Singh kupitia company yake ya PAP kazinunua kampuni zote mbili zilizokuwa na mgogoro, katatua tatizo na mkwanja uliowekwa escrow account ni wake, na hilo liliamuliwa kisheria na mahakama
"The court ruled - on September 5, 2013 in favour of VIP and all the cases were dropped. PAP was thus granted the ownership of all of IPTL assets -including money in the escrow account. PAP also agreed to pay all IPTL creditors." Kwanini usiwe wake wakati kamaliza tatizo?
Na kama alivyosema balozi wa Uingereza
Lets wait for the results and see what really happened, baada ya uchunguzi wa CAG na PAC.
Silioni tatizo hapo unless kuwe kuna pesa zimetolewa bila IPTL kuifanya kazi iliyokusudiwa. Nijuavyo, IPTL walifanya kazi na mahakama ilishaamuwa zamani walipwe fedha zao, tatizo lilikuwa ni baina ya wabia wawili IPTL na ndiyo maana fedha ikafunguliwa akaunti BOT mpaka hao wabia watapo maliza matatizo yao.
Tatizo ni nini?