Harbinder Singh Sethi aliyenunua IPTL ni nani?

Harbinder Singh Sethi aliyenunua IPTL ni nani?

Nimesoma toka mwanzo timu ya lumumba haipo kabisa hapa!
 
Kama mnajua kunyea kwa bibi ndo hapo sasa. Hapo hakuna ujanja lazima wahusika wazirudishe hizo hela. Shida ya watanzania ni maskini halafu mnajifanya kuiba hela BOT wakati wazungu wakijitoa kuleta misaada yao wote mtakula nyasi hapa. Hongera serikali ya uingereza kwa hapo nawasifu, ila angalizo ni kwa hizo ofisi za TAKUKURU na CAG ambazo zimekuwa zikisafisha watu.
 
Nimeisoma hiyo hadithi kwenye post #1 , sijaona mpaka sasa tatizo ni nini?

Naona mambo ya kawaida kibiashara, kulikuwa na mgogoro wa wabia wawili, Singh kupitia company yake ya PAP kazinunua kampuni zote mbili zilizokuwa na mgogoro, katatua tatizo na mkwanja uliowekwa escrow account ni wake, na hilo liliamuliwa kisheria na mahakama "The court ruled - on September 5, 2013 – in favour of VIP and all the cases were dropped. PAP was thus granted the ownership of all of IPTL assets -including money in the escrow account. PAP also agreed to pay all IPTL creditors." Kwanini usiwe wake wakati kamaliza tatizo?

Na kama alivyosema balozi wa Uingereza "Let's wait for the results and see what really happened," baada ya uchunguzi wa CAG na PAC.

Silioni tatizo hapo unless kuwe kuna pesa zimetolewa bila IPTL kuifanya kazi iliyokusudiwa. Nijuavyo, IPTL walifanya kazi na mahakama ilishaamuwa zamani walipwe fedha zao, tatizo lilikuwa ni baina ya wabia wawili IPTL na ndiyo maana fedha ikafunguliwa akaunti BOT mpaka hao wabia watapo maliza matatizo yao.

Tatizo ni nini?
 
kama hakuna tatizo kwa nini balozi wa uk anasitisha misaada?
 
Balozi wa UK hakusitisha misaada, soma vizuri.
Balozi anatoa angalizo la Kusitisha misaada kwa kuwa issue hiyo haijakaa vizuri!
Mimi nakuheshimu kwa michango yako na pengine wanao kushambulia hawatumii hoja sasa nina maswali yafuatayo:
1.Kwenye Income Tax Act 2004 Kuna power za Kamishina wa Kodi je kuna mahali pameandikwa kuwa mwanasheria mkuu anaweza kuingilia kabla ya Tax appeal?

2.Pia kwenye masuala ya Ukaguzi wa fedha kuna Power za CAG moja ikiwa ni kukagua au kuteua mkaguzi wa hesabu za fedha za serikali ,je mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kuingilia?

Leo hii Ukaguzi wa CAG kabla hata ripoti yake haijatoka na kuchakachliwa mtu yoyote ambaye amesoma uhasibu na kumaliza CPA anaweza kujua matokeo ya ripoti ya CAG .
Naomba unisaidia kwa machache hayo ili niongeze mengine
 
kizungu kwao shida.watakomenti kwa kutumia uzoefu wa mada husika tu.
Nyaraka zote za EPA ziliandikwa kwa kizungu lakini wizi uligundulika!
Kiingereza kimetoka kwa Waingereza ambao Balozi wao ametoa angalizo la kusitisha misaada zaidi ya Shs177Billion kwenye bajet ya mwaka huu, je hulioni hili??

Ina maana hata CAG ambaye ameomba ana ananza ukaguzi hajui Lugha??
Pinda aliyetaka ukaguzi ufanyike hajui lugha??
Kule Bungeni Wabunge wa CCM hawakutoa hoja hiyo ina maana hawajui lugha??
 
Balozi wa UK hakusitisha misaada, soma vizuri.

However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzania's energy sector in the next financial year. "The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue," she said.
 
kizungu kwao shida.watakomenti kwa kutumia uzoefu wa mada husika tu.
Hebu fafanua hii Kwa jinsi unavyofahamu wewe!!

However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzania's energy sector in the next financial year. "The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue," she said.
 
Balozi anatoa angalizo la Kusitisha misaada kwa kuwa issue hiyo haijakaa vizuri!
Mimi nakuheshimu kwa michango yako na pengine wanao kushambulia hawatumii hoja sasa nina maswali yafuatayo:
1.Kwenye Income Tax Act 2004 Kuna power za Kamishina wa Kodi je kuna mahali pameandikwa kuwa mwanasheria mkuu anaweza kuingilia kabla ya Tax appeal?

2.Pia kwenye masuala ya Ukaguzi wa fedha kuna Power za CAG moja ikiwa ni kukagua au kuteua mkaguzi wa hesabu za fedha za serikali ,je mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kuingilia?

Leo hii Ukaguzi wa CAG kabla hata ripoti yake haijatoka na kuchakachliwa mtu yoyote ambaye amesoma uhasibu na kumaliza CPA anaweza kujua matokeo ya ripoti ya CAG .
Naomba unisaidia kwa machache hayo ili niongeze mengine

Kwanza nimefurahi kuwa umefata ushauri wangu wa kusoma tena na vizuri na kunielewa niliposema kuwa balozi hakusitisha misaada, kama ulivyosema ni angalizo tu, tena kwa misaada inayohusu umeme pekee.

Kuhusu maswali yako yote mawili:

1) Kitu chochote kinachuhusiana na sheria mwanasheria mkuu wa serikali anaweza kuingilia inapobidi akatakiwa kutoa ufafanuzi wa sheria.

2) Kama unamaanisha Mwanasheria mkuu wa serikali kuingia kuteua, hawezi kuingia kuteua isipokuwa anaweza kuingia atapotakiwa kutoa ufafanuzi wa kisheria katika kuteua.

Mimi sijasoma CPA kwa hiyo siwezi kuelewa mpaka ripoti itakavyoletwa.

Nahisi hapa sasa tunaongelea technicalities zaidi ya uharamu au uhalali wa fedha zilizowekwa kwenye escrow account kupewa PAP.

Kwa upande wangu na nilivyoelewa, ni kuwa pesa hazikutolewa kiholela tu, bali sheria zilifatwa na zilitolewa kwa amri ya mahakama. Na nilivyoelewa ni kuwa hizo pesa zilizowekwa kwenye escrow account zilikuwa ni malipo halali lakini ilishindikana kulipwa wabia wa awali kwa kuwa walikuwa na matatizo yao na ndiyo ikaonekana ni vyema ziwekwe escrow account ili wamalize matatizo yao kwanza. Na nnaona mahakama ilivyoridhika kuwa tatizo limekwisha na hakuna pingamizi kutoka kwa wabia walioziuza kampuni zao kwa PAP ndiyo fedha zikaruhusiwa zilipwe kwa PAP.

Sioni tatizo kuhusu hizo pesa kuwa ni za nani au kuwa zimeibiwa. masuala yaliyobaki ni uchunguzi tu wa CAG na PAC utakaoamuwa kama kuna technicalities ambazo hazikufatwa au zilikiukwa na kuisababishia Serikali hasara.

Hapa PAP nionavyo mimi, hana tatizo hata kidogo, tatizo lipo katika ukiritimba na watu kuzikodolea na kuzimezea mate hizo fedha. Ni fedha nyingi sana na hata mimi natamani ningepata fungu la mgao wake.

Jee, wewe unaona tatizo ni nini?
 
However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzania's energy sector in the next financial year. "The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue," she said.

Hiyo haimaanishi msaada umesitishwa. Na hiyo niliyokuwekea bold, inamaanisha kuwa msaada utatolewa.
 
Hii Issue imekuja Wakati muhafaka kuelekea 2015 Kama EPA US$116 million Ili ng`oa Mbuyu Jee Hii $122 million hii itaindoka na Magamba:israel::wave:
 
Hebu fafanua hii Kwa jinsi unavyofahamu wewe!!

However, Ms Melrose said the donor community was closely monitoring the unfolding scandal, adding that the UK had reason to be concerned as it was planning to provide £71 million (Sh177 billion) for Tanzania's energy sector in the next financial year. "The UK alone looks forward to providing £ 71 million to the energy sector in the next budget, so it is a concern for us when it comes to the IPTL issue," she said.

Kumbuka, maneno ya balozi ni hayo yaliyowekewa quotation mark pekee, mengine ni ufafanuzi wa mwandishi. Na hapa nime-ya-bold ili uelewe vizuri kuwa balozi anakiri kuwa wanatarajia kutoa "mkwanja" huo kwenye bajeti ijayo.

Hakuna kusitisha msaada hapo.
 
Kwanza nimefurahi kuwa umefata ushauri wangu wa kusoma tena na vizuri na kunielewa niliposema kuwa balozi hakusitisha misaada, kama ulivyosema ni angalizo tu, tena kwa misaada ya inayohusu umeme pekee.

Kuhusu maswali yako yote mawili:

1) Kitu chochte kinachuhusiana na sheria mwanasheria mkuuwa serikali anaweza kuingilia inapobidi akatakiwa kutoa ufafanuzi wa sheria.

2) Kama unamaanisha Mwanasheria mkuu wa serikali kuingia kuteua, hawezi kuingia kuteua isipokuwa anaweza kuingia atapotakiwa kutoa ufafanuzi wa kisheria katika kuteua.

Mimi sijasoma CPA kwa hiyo siwezi kuelewa mpaka ripoti itakavyoletwa.

Nahisi hapa sasa tunaongelea technicalities zaidi ya uharamu au uhalali wa fedha zilizowekwa kwenye escrow account kupewa PAP.

Kwa upande wangu na nilivyoelewa, nikuwa pesa hazikutolewa kiholela tu bali sheria zilifatwa na zilizotelewa kwa amri ya mahakama. Na nilivyoelewqa ni kuwa hizo pesa zilizowekwa kwenye escrow account zilikuwaa ni malipo halali lakini ilishindikana kulipwa wabia wa awali kwa kuwa walikuwa na matatizo yao na ndiyo ikaonekana ni vyema ziwekwe escrow account ili wamalize matatizo yao. Na nnaona mahakama ilivyoridhika kuwa tatizo limekwisha na hakuna pingamizi kutoka kwa wabia walioziuza kampuni zao kwa PAP ndiyo fedha zikaruhusiwa zilipwe kwa PAP.

Sioni tatizo kuhusu hizo pesa kuwa ni za nani au kuwa zimeibiwa. masuala yaiyobaki ni uchunguzi tu CAG utakaoamuwa kama kuna technicalities ambazo hazikufatwa au zilikiukwa na kuisababishia Serikali hasara.

Hapa PAP nionavyo mimi, hana tatizo hata kidogo, tatizo lipo katika ukiritimba na watu kuzikodolea na kuzimezea mate hizo fedha. Ni fedha nyingi sana na hata mimi natamani ningepata fungu la mgao wake.

Jee, wewe unaona tatizo ni nini?

Kwanza nakushukuru na kukupongeza kwa majibu haya na ukweli wako na pengine kwa hoja hii utasaidia wengi, unajua humu ndani tumetofautiana.
Kwanza kabisa niseme kwamba watu wanachangia mada humu lakini wanatumia utalamu wao bila kujua kuwa utaalamu wako una ukomo.
Kama ulivyosema kuwa hujasoma CPA ni watu wachache sana wanaweza kuwa wakweli kama wewe .
1.Sheria inapiganiwa Bungeni na suala ambalo ni zito lipo katika ukwepaji kodi ambapo sheria yake ipo kwenye Income Tax 2004 na ndani ya Sheria hiyo Kamishina wa kodi amepewa mamlaka makubwa na mwanasheria hawezi kuingilia
Kama kuna mgogoro wote wa suala la kupinga kulipa kodi upo utaratibu maalum ambao unajipambanua kwenye Ta Appeal Act ambako Mwanasheria mkuu wa serikali hayupo.
Sasa hiki ndicho kinacho msubua Werema kapoteza
CAG anapoweka kipengere hiki katika uchunguzi wake hakika Werema haponi angalia hizo act kwenye google utapata ukishindwa nitakutumia nipe mail yako private.
2.Hoja ya pili ni kwamba Balozi wa Uk ametoa angalizo la kusitisha misaada sasa issue hapa ni kwa nini UK watoe anaglizo hilo ?? Ina maana kunatatizo kubwa ambalo linawafanya waone bora kufanya hivyo.
Kumbuka si rahisi uk kujitoa ama kutoa angaliozo la kujitoa isipokuwa kama nchi husika imepiga marufuku Ushoga kumbuka issue ya Uganda!!
3.Kwenye masuala ya Ukagaguzi ni kwamba CAG ana nguvu kubwa kwenye eneo hilo na sheria inaonyesha kuwa hakuna wa kumwingiria.
Ndo maana CHADEMA waliyumbishwa sana kwenye sakata la kukaguliwa hesabu zake kwa kuwa mwenye mamlaka ya kuteua mkaguzi ni CAG na si vinginevyo: Vyama vya siasa haviwezi kujiteulia mkaguzi wao vyenyewe;
Sasa watu wana angamia kwa kukosa maalifa.

4.Kuna kitu kinaitwa accounting practice ambapo Wahasibu wanatakiwa kutumia IAS na IFRS. Sasa mwasibu anaweza kutumia hizo standard kuhalalisha wizi
Hivyo hivyo Accountant na Tax Consultant huwa wanatofautiana.
Mwasibu akiandaa vitabu kwa kutumia IFRS watu wa TRA wanakwenda kuchunguza kama hakutumia standards kukwepa kodi
Makampuni ya Kimataifa na hapa nchini wanatumia sana hizo standards kukwepa kodi.
Wizi unaotajwa ni wizi wa kukwepa kulipa kodi tofauti kidogo na wizi wa EPA ambao ulikuwa completely fraud.
Kwenye hili huenda hata fruad ikaibuliwa kwa maana kuna usajiri wa kampuni hewa hapo ili kukwepa kulipa kodi
 
Back
Top Bottom