Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Chama cha walalamikaji, chama kila mara kinaona kinonewa!
Hongereni CDM kwa kuweka historia mpya TZ ya kuomba omba kuanzia kura hadi fedha za kuendesha chama na za kampeni!
 
Dr slaa amwaga cheche na kaongea ukweli ulio wazi. Chadema tule mondy. Sasa ni zamu ya mbowe.
 
Dr Slaa kataja baadhi ya hujuma zinazofanywa na serikali ya ccm kuhusu uchaguzi wa Arumeru East ikiwa ni pamoja na ongezeko la vituo feki 52 vya kupigia kura, Lubuva na mkurugenzi watofautiana!

Jingine ni kuhusu tangazo la mkurugenzi wa wilaya kutangaza kuwa mwaka huu hataweka majina ya wapiga kura vituoni, baada ya Dr Slaa kuunguruma majina yote yaliwekwa tangu jana na wananchi wanaendelea kuhakiki majina yao vituoni!

Na mengine mengi!

Anakaribishwa m/kiti Mhe Mbowe!
 
Chama cha walalamikaji, chama kila mara kinaona kinonewa!
Hongereni CDM kwa kuweka historia mpya TZ ya kuomba omba kuanzia kura hadi fedha za kuendesha chama na za kampeni!

Hata Obama mwaka 2008 alipitisha bakuli na watu walichangia...
 
Chama cha walalamikaji, chama kila mara kinaona kinonewa!
Hongereni CDM kwa kuweka historia mpya TZ ya kuomba omba kuanzia kura hadi fedha za kuendesha chama na za kampeni!
Rejao nakuheshimu walati magamba ni ombaomba kuliko chama chochote hapa nchini!
 
Chadema wanafanya kitu kizuri sana, wanaendelea kukisogeza chama na kuzidi kukiweka karibu na wananchi wa makundi yote, jambo hili linaweza kufanywa na chama chenye mtazamo wa mbali tu. BRAVO CDM.
 
ukombozi ni kwa kutembeza bakuli, tena naomba hili bakuli litembee nchi nzima kama mwenge wa uhuru, nchi hujengwa na wananchi na siyo kikundi kidogo cha watu

bravo CDM

Mimi nimeshachangia kupitia Mpesa, wewe je?
 
Dr Slaa kataja baadhi ya hujuma zinazofanywa na serikali ya ccm kuhusu uchaguzi wa Arumeru East ikiwa ni pamoja na ongezeko la vituo feki 52 vya kupigia kura, Lubuva na mkurugenzi watofautiana!

Jingine ni kuhusu tangazo la mkurugenzi wa wilaya kutangaza kuwa mwaka huu hataweka majina ya wapiga kura vituoni, baada ya Dr Slaa kuunguruma majina yote yaliwekwa tangu jana na wananchi wanaendelea kuhakiki majina yao vituoni!

Na mengine mengi!

Anakaribishwa m/kiti Mhe Mbowe!

Duh! Dr Slaa ni kiboko ndio maana sitofautiani na baadhi ya members humu wanaposema kua kuna wana CCM wanaipenda CDM, ndio maana inakua ni rahisi sana kwa CDM kupata info zote na hujuma za CCM
 
Mbowe anasema chama kinaingia kwenye mpango muhimu sana wa kukirejesha chama kwa watanzania wote. Chama kimepitia mazingira magumu maana kun awatanzania wenzetu wamekufa, wamefilisika, wamefungwa kwa kuitetea CHADEMA.
 
Rejao nakuheshimu walati magamba ni ombaomba kuliko chama chochote hapa nchini!
Kuna watu wa kuwaomba michango na siyo kila mtu!
CDM wamezidi..mpaka kwenye mikutano ya kampeni? Hii haijawahi tokea!
 
Back
Top Bottom