Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

Finally imetimia, wananchi watambua kwamba ukombozi wa kweli hauletwi na viongozi peke yao bila wao wananchi kushiriki kwa hali na mali, big up kwa somo Chadema.
 
Wote walio na moyo wa kupenda mabadiliko Mungu atakuwa upande wetu.
Mimi nampongeza mzee aliyevumilia mpaka saa nne akiwa kwenye harambee hiyo anaitwa NdesaPesa amesema iko mingi siyo ya hapa tu hata nje ipo, na siyo ya kifisadi. Maneno hayo yametugusa nasi tunajiandaa kuchangia M4C.
 
ujumbe huu mpeni pia sabodo

si kazi yako na hela za sabodo kiumacho nini?sabodo zile hela zake atatumia atakavyo yeye ,wivu wa nini na fedha yake sabodo!mkwewe hajalalamika popote weye kiwasira kinjaa njaa tu huna jipya jirembe upya utapendwa tu acha woga
 
Mimi ningependa bunge liwe na 50% by 50% ili nchi iwe na sustainable issues, hili la sasa ni tabu tupu. Nasapoti sana CDM kwa ajili ya muelekeo huo.
 

Du, kama ina maana hii kweli basi ni nzuri!
 
Ndo tayari we ulitaka itokee wapi.....ili usishangae?
Kuna watu wa kuwaomba michango na siyo kila mtu!
CDM wamezidi..mpaka kwenye mikutano ya kampeni? Hii haijawahi tokea!
 
Kwa kile kilichojitokeza wazi na dhahiri kuwa CDM ni moto wa kuotea mbali ni kile kilichorushwa LIVE kupitia StarTV. Na katika kuweka mambo sawa na kuonyesha kuwa haogopi na kusombwa na hisia kuwa Ukiwa mfanyabiashara ni hatari kusaidia CDM na vyama vya Upinzani, Mhe Ndesa ''Pesa'' kama alivyojitambulisha yeye mwenyewe alikichangia Chama chake Millions 20 cash! Kwanza alimuuliza M/k Mbowe kwamba anataka apewe ngapi na ndipo alipojiamulia kuwa '' Natoa 20millions na nitaendelea kutoa kukisaidia chama hadi pale ukombozi wa kweli utakapopatikana na hii M4C ifikie adhima yake''.
 
Sipati picha iiwapo mtaiba itatokea nini
mmeanza kujihami , tume ina makosa gani? Na mkapa ametowa wapi haya maagizo? Hamtaacha uchochezi mpaka mtakapopata viongozi wabunifu,, hamuishi kulalama kama wanawake subirini hy tarehe 1-4-2012 mtakavyosambaa mapema
 
Harambee ianzishwe kwa ajili ya radio na tv chadema ili kuleta wepesi wa kuangalia matukio mbalimbali ya chama na pia itasaidia kupeana habari mbalimbali
 

Ha ha haaaaa Tshs 20 million, ndio nyingi ? Nakumbuka Mh. Mohammed Dewji alikichangia chama chake Tshs 560million, sasa hapo kwa yeye tungesemaje ?
 
Ha ha haaaaa Tshs 20 million, ndio nyingi ? Nakumbuka Mh. Mohammed Dewji alikichangia chama chake Tshs 560million, sasa hapo kwa yeye tungesemaje ?

Hata yule aliyetoa shilingi moja kanisani bwana Yesu alisema ndiyo ametoa kuliko wote.

Inawezekana Ndessa hana pesa kuliko Dewji na kwa kutoa huko akawa katoa kikubwa kuliko wa 560ml.
 
Ha ha haaaaa Tshs 20 million, ndio nyingi ? Nakumbuka Mh. Mohammed Dewji alikichangia chama chake Tshs 560million, sasa hapo kwa yeye tungesemaje ?

Dewji zake zilirudi kwenye msamaha wa kodi!
 

Huyu alikuwa analipa fadhila kwa misamaha ya kodi anayopata kupitia chama hicho.

Misamaha ya kodi iko kisheria, mwambieni na Ndesamburo nae aiombe atapewa tu hiyo misamaha ili na yeye akichangie chama zaidi ya hizo
 
Ha ha haaaaa Tshs 20 million, ndio nyingi ? Nakumbuka Mh. Mohammed Dewji alikichangia chama chake Tshs 560million, sasa hapo kwa yeye tungesemaje ?

pambaf hiyo si hela ya ufisadi aliwarudishia sehemu ya hela aliyo iibia hii nchi hatutaki mihela michafu sisi cdm
 
Ndesamburo ndiye mfanyabiashara Tanzania aliyetoa kiasi kikubwa cha fedha hadi sasa kusaidia upinzani na bado anaendelea.

Mwaweza sema Sabodo katoa nyingi zaidi. VEMA. Lakini jiulize Ndesapesa kakichangia CHADEMA toka lini, na je kiasi alichokichangia Chama kimepita kima cha milioni 100/= ama la?

Hao wengine wanachangia CCM kwasababu ya woga kufirisiwa na SERIKALI ya CCM. Wengine wanaoneka wanachangia kiasi kikubwa lakini ya pazia walichangia haifiki hata 1 ya 8 ya kile wanachowaibia watanzania kwa msaada wa Serikali ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…