Harambee ya CHADEMA - Naura Spring, Arusha

I have real been moved by the movement of what is going on back home through Chama changu Chadema. Niko nje ya nchi lakini naomba kiongozi wa Chadema anipe PM na kunipa account namba ya chama (siyo ya mtu binafsi) niweze kutumbikiza kamchango changu ka £150
 
ungetulia kidogo.au ulikuwa toilet nini,kwenye red apo
 
Nimemsikia Mbowe akisema kuwa wanazo taarifa CCM wanaanza kutishia kuwa watafuta utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. Rohoni kwangu natamani wafanye hivyo - tena haraka. Wafutilie mbali ruzuku halafu waone jinsi mnara wa babeli utakavyoonguka kwa kasi. CCM -chama cha posho wataishije?
 
Hii kitu imekaa vema sana na credit ziwaendee viongozi wakuu wa chama mh. Mbowe na Dr. Slaa. natumae bibi yangu aliyepo kijijini nyampembenkaranga naye atapata elimu sahii kupitia sadaka na michango hii. Na hapa tutakuwa tumepanda mbegu ya mabadiliko ya kisiasa kwa watu wa rika zote tanzania yetu.

Kwa wanaobeza hili wakumbuke hata Barack Obama alipelekwa ikulu la white house kwa fund rising kama hizi na kumwacha seneta John Maccain aliyekuwa anawezeshwa na wenye mkwanja wa zali kama magamba wa bongo kwenye mataa ya ubungo
 
alikuwa anajaribu kupotosha kidogo mana kwa taarifa yako ruzuku inatolewa na serikali sio chama
 
[h=5]Users Browsing this Topic[/h]There are currently 633 users browsing this thread. (162 members and 471 guests)
 
Nimefika nyumbani saa 3.00 usiku huu, nikitokea Nairobi kumwona Kijana wa ndugu yangu aliyepata ajali ya gari, pamoja na kumwona daktari wangu. Sitaweza kufika ukumbini, lakini kama Muasisi wa Chadema nachangia Shilingi Milioni Nne.

Pole mzee kwa matatizo . Tunamwombea Henry Mungu atamponya.
 
mkuu umechangia?
Hiyo movement yao ingekuwa imefanyikia mikoa ya Lindi, Mtwara,
Ruvuma au Rukwa ningeshiriki! Kwenda kufanyia kitu kama hicho nyumbani kwa CDM kumenidiscourage!
 
Hii kitu imekaa vema sana na credit ziwaendee viongozi wakuu wa chama mh. Mbowe na Dr. Slaa. natumae bibi yangu aliyepo kijijini nyampembenkaranga naye atapata elimu sahii kupitia sadaka na michango hii. Na hapa tutakuwa tumepanda mbegu ya mabadiliko ya kisiasa kwa watu wa rika zote tanzania yetu.

Kwa wanaobeza hili wakumbuke hata Barack Obama alipelekwa ikulu la white house kwa fund rising kama hizi na kumwacha seneta John Maccain aliyekuwa anawezeshwa na wenye mkwanja wa zali kama magamba wa bongo kwenye mataa ya ubungo
 
unachekesha kweli,kwa vyama dume hiyo ni harambee ya mkoa ambaye mgeni rasmi anakuwa mwenyekiti wa halmashauri wala sio ya taifa,
 
kiasi kilichopatikana ni siri kwa sasa hadi fungu la wenye chama litengwe kwanza ie kaskazini especially moshi
 
hii sadaka ni kwa ajili ya kanisa na watu wa kaskazini

Hiyo movement yao ingekuwa imefanyikia mikoa ya Lindi, Mtwara,
Ruvuma au Rukwa ningeshiriki! Kwenda kufanyia kitu kama hicho nyumbani kwa CDM kumenidiscourage!
Ukumbi ni wenu sasa mnaweza hata kugalagala wanamme wameshamaliza.
 
wamekaukiwa wanajaribu kutembeza bakuli, wanataka kushindana na CCM kwa pesa wataweza wapi!! CCM MASHINE KUBWA INASAGA NA KUKOBOA

akili yako ni kama ya mzoga.Unatetea majambaz?Magamba ni mashine kwa ufisadi,wizi wa mali,umalaya,uchawi na matusi kwa umma!Hamna lolote na leo lazima mavi yenu yagonge chu...P.Go on chadema na tena kwa taarifa yako nimechangia chadema tshs elfu 25 taslimu kwa m pesa.Utajiju.
 
alikuwa anajaribu kupotosha kidogo mana kwa taarifa yako ruzuku inatolewa na serikali sio chama

Mkuu, Rais ndiye mwenyekiti wa ccm na ruzuku inatolewa na serikali ya ccm.
 
Lengo la hilo zoezi ni jema kabisa ila ktk kuangalia kile kipindi nafkiri CDM hawakueleza vyema kitaalam wanahitaji fedha kwa ajili ya kufanyia nini.Nilitegemea wangetoa estimates za wanachotaka kukifanya na time frame ndipo waanze kuomba fedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…