Huyu dogo si mchezo, anatisha kwakweli.Anjelo amuomba Nassari azungumze kidogo!
Dogo kama kawa ameanza kukamua bila hirizi!
Mwigulu kachanwa live
Kumbe ndiye mbunge wa Iramba?wamemchana live, hafai sababu ya UZINZI!!!
kachanwa live na nani mbona mnaleta habari kama magazeti ya shigongo?
Kumbe Nasari ni Mwali??????Mwali Nasari anaongea
kuna jamaa toka iramba alikuwa anatoa mchango akasema hawana mbunge, mbunge wa sasa kazi yake uzinzi
Watukutu mbona wabajulikana..Wanaambiwa waache kuwa marafiki na mafisadi lakini ndio kwanza wanapokea posa!Nawashangaa sana watu wanomchangia mtoto mtukutu! Mpaka baba yake amemchoka nyumbani!!
Imebidi ni google lakini nikaambulia patupu ulikuwa na maana gani kuwa compaund wanachama.Ukitafuta net worth ya Chadema na wanachama wake wote hata ukiwacompaund to infinity hawafikii hiyo value!
Show ya harambee iz over!
Kuna jamaa amefunguka eti Iramba hawana mbunge eti aliyepo ni mzinzi. jamani sio kwa Mwigulu huko???
Watanzania sasa itabidi tuwe wakali kwa sababu hizo ni pesa zetu, nadhani baada ya hapo kuna haja MBOWE na SLAA ku-step down ili fedha hizo zisipitie tena mikononi mwa Josephine na BILCANASAjabu haijapata kutokea!CDM imezindua mpango wa kuendeshwa kwa nguvu ya umma huku ikirusha live na star tv.
Juma ya hela zilizopatikana cash kwa wale waliokuwa tayari kutangwa live ni zaidi ya millioni 200. Majumuisho yakifanyika usishangae ikawa mabilioni kwa watu wamekua wanatuma cheki na kuchanga kupitia M-PESA,TIGO PESA,AIR TEL PESA NK.
Katika hali ya kutatanisha TANESCO walikata umeme wakati kipindi kinarushwa katika jiji la Arusha.GENERATOR LATUMIKA KURUSHA MATANGAZO.
Source Star TV