GE2025 Harambaee imejaa ‘watu Fulani Mafisadi’

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Pamoja na yote hayo ila............haijulikani saa wala dakika usiyempenda akitumwa kuja kusafisha banda...............bendera nusu...mlingoti italihusu taifa
 
Tangu juzi nikiwa nyumbani usiku naangaliza Episode za El Chapo Ghuzman ndio nimemaliza leo, cha kusikitisha naingia JF nakuta mjadala umepamba moto wa Ccm wanavyotakatisha pesa.

Kwa aliyeona hii filamu ya El Chapo wala hupati shida kujuwa wauza dawa za kulevya wanaweza kumuweka Rais madarakani na wakawa wanatowa amri au kupewa protection kwenye uhalifu wao.

Tuna kina El Chapo na Don Pablo Escobar nchini kwetu na wote wamejifunika shuka la ccm.

Naisikitikia nchi yangu tumekwisha, ile kauli mtanikumbuka sasa ni dhahiri.

Sijawahi kumkubali Magufuli lakini hiki wanachotufanyia genge la Msoga hakikubaliki.
 
Jamaa hawana aibu kabisa, 2030 ndio hatutaamini macho yetu
 
Vipi wangekuwa wamekusanyika kwenye harambee za chadomo mngekuja kunyanyua miqukundu hapa eti mafisadi?

Nyie endeleeni na manoo noo yenu..
Na muda si mrefu kuna mtu atakula kitanzi akili iwakae sawa!

KUNA ANGUKO KUU LA CHADOMO LISILOKUWA NA MWISHO!
yani wewe ukute hata kesho hujui utakula nini alafu unatukana watu apa as if ipo kati ya hao mabilionea.
Shwain kabisa.
 
Watanganyika wenye asili ya...
 
Vipi wangekuwa wamekusanyika kwenye harambee za chadomo mngekuja kunyanyua miqukundu hapa eti mafisadi?

Nyie endeleeni na manoo noo yenu..
Na muda si mrefu kuna mtu atakula kitanzi akili iwakae sawa!

KUNA ANGUKO KUU LA CHADOMO LISILOKUWA NA MWISHO!


Mungu wa Mbingu amesikia dhihaka yako kwa wanaodhulumiwa. Na hakika, kwa jina la Mungu adumuye, na apendavyo, utatangulia wewe kwenda ardhini kabla ya Lisu anayehulumiwa.
 
Huyu jamaa enzi za JPM na mwenzake rugemalila walikua ma model. Saivi anaonekana hana chembe ya wasiwasi. Daah
Wasiwasi utoke wapi ilhali ni rafiki wa Jumanne Kaseja (JK) Rais Mwandamizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…