Hussein Mbega
JF-Expert Member
- Jun 7, 2026
- 446
- 1,046
Tupo pungufu Foden kala umeme kwaio captain mamba aongoze kikosi tokomeza mapunga.
Asante kwa kuitikia wito mkuu. Natumai hii imekukosha hata wew kumoyoYaani sijui akichelewa wapi kunisanua,
Aaaah"!
Ko ulikua ume comment huku unaogopa?Asante kwa kuitikia wito mkuu. Natumai hii imekukosha hata wew kumoyo
Au sio?😁Ko ulikua ume comment huku unaogopa?
Mie sina kweree atii, 😂😂
Acha woga jiamini, mbona unaanza kujitilia shaka? Au ndio vile tena?Au sio?😁
Umekua na siku ndefu ya utetezi mkuu..pumzika sasa😁Acha woga jiamini, mbona unaanza kujitilia shaka? Au ndio vile tena?
😂😂😂
Tunataka account number ya 🐊🐊🐊🐊🐊
Lazima tumchangie.
Dudubaya is a man of match