FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
Asante sana
naona hapa job ndo watu wanaishia kwenye maandamano japo kuna manyunyu kidogo huko nje.
hapa kuna kazi imenitaiti nimeshindwa kwenda kuandamana hata last year was the same kama leo, dah mbayaa.
mama ukitingwa na kazi siku kama ya leo ndio unakua umeisherekea ipasavyo,kuliko kwenda kwenye maandamano kuangalia mishono
thank you mamy,ubarikiwe...alafu mama mda mwingi kuna swali natamani kukuuliza ila naogopa usije nilaani,ni kuulize?
mama ukitingwa na kazi siku kama ya leo ndio unakua umeisherekea ipasavyo,kuliko kwenda kwenye maandamano kuangalia mishono
Ruhazwe JR
niulize siwezi kukulaani kabisa.
ha,ha,ha...umesahau na staili ya kusuka/kuseti nyweleKumbe kwenye maandamano ni kuangalia mishono ya nguo ,mikoba na viatu vipya
ha,ha,ha...umesahau na staili ya kusuka/kuseti nywele
Men's day ipo lini?