Happy Women's day!

Happy Women's day!

Asante sana
naona hapa job ndo watu wanaishia kwenye maandamano japo kuna manyunyu kidogo huko nje.
hapa kuna kazi imenitaiti nimeshindwa kwenda kuandamana hata last year was the same kama leo, dah mbayaa.

namim nilikuwepo Tanganyika packers, pamoja na mvua was great.

Nilichezaje mchiriku.
 
Ipo siku ya wanaume. But sikumbuki tarehe.

[h=5]God created Man first… but… he wanted to create something better… Guess what! He created a woman! Happy Women's day
hebu nipe Objectives zenu...........[/h]Ya kwetu hii hapa
International Men's Day (IMD) is an annual international event celebrated November 19, The objectives of celebrating an International Men's Day include focusing on men's and boys' health, improving gender relations, promoting gender equality, and highlighting positive male role models.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP] It is an occasion to highlight discrimination against men and boys and to celebrate their achievements and contributions, in particular for their contributions to community, family, marriage, and child care.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP]The broader and ultimate aim of the event is to promote basic humanitarian values.
 
wanawake tunaweza, tunajali, tunapenda, tunavumilia kwa kila jambo, tuko makini katika shughuli zetu, tunahudumia familia na kutunza pia, tunatii mamlaka, tunatii waumezetu, tuko mstari wa mbele kuleta maendeleo katika nchi yetu, tunastawi na kukua zaidi katika fani mbalimbali, ni watendaji wa yale tuliojipangia, ni washawishi wazuri katika mambo ya faraga, ni wanawakeambao tuko mbele kwa kila kitu, si walegevu bali ni mashujaa, ni waimbaji wenye sauti za kuvutia na kuleta bashasha unaposikiliza wewe si unaona lile tangazo la zantel linasema ('mtandao huu nimsimulie nani.... Maneno haya-fumbiki hasirani.........'), ni viongozi tulisheheni ila hatujapewa nafasi, tunaowapenda wengine na kuona wagonjwa, sisi ni jeshi kubwa. Je wewe unatuonaje jinsi tulivyo? Hebu tuangalie hapa katika style mbalimbali na tunavyojishughulisha kwa makini: Ona hapa
WOMAN IN OFFICE.jpg WOMAN IN HAIR.jpg WOMEN IN HOUSE.jpg WOMAN INSHAMBA.jpg WOMAN IN LOVE.jpg WOMAN ANA MKAPA.jpg WOMAN KIKWETE.jpg
 
Mpenzi measkron,
Namshukuru Muumba kwa kukuumba mwanamke, hakika alijua u sehemu katika nyama na mifupa yangu.
Umeniletea mabinti wazuri na kijana mmoja, ambao kila nikiwatazama napata faraja na furaha ya wewe kuitwa mama yao.
Nitakutunza daima mke wangu, nitakupenda daima mama wa watoto wangu na nitakuheshimu daima mwanamke wa maisha yangu.

With love,
Happy Women's Day.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wanawaona wanaume kama adui zao wakubwa wanaowanyima uhuru ndo maana wanasherehekea women's day! Lakn wanasema in behind of every successful woman there's a man'. Sasa kama wanaume ni adui wa akina mama kwa ukatili na mfumo dume, kuna haja ya kuwa na siku ya wanaume dunian hiyo Novemba? So kama wote wana siku ya kumbukmbu dunian, then ngoma itakuwa droo hakuna kulalamika. Tafalari
 
[h=5]God created Man first… but… he wanted to create something better… Guess what! He created a woman! Happy Women's day
hebu nipe Objectives zenu...........[/h]Ya kwetu hii hapa
International Men's Day (IMD) is an annual international event celebrated November 19, The objectives of celebrating an International Men's Day include focusing on men's and boys' health, improving gender relations, promoting gender equality, and highlighting positive male

role models.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP] It is an occasion to highlight discrimination against men and boys and to celebrate their achievements and contributions, in particular for their contributions to community, family, marriage, and child care.[SUP][/SUP][SUP][/SUP][SUP][/SUP]The broader and ultimate aim of the event is to promote basic humanitarian values.



Thanks alot.

You are real gentlemen!
 
Ha ha ha haa

Nilikuwa nyuma kabisa ya bango!

Hahahah....nilikua na van ya wahandishi wa habari nikashindwa kukushtua loh...
Ila nyie wengi pale mlienda kwa ajili ya zile posho mpendwa, hebu niambie ubatizo wote ule wa mvua duh!!!
 
Hahahah....nilikua na van ya wahandishi wa habari nikashindwa kukushtua loh...
Ila nyie wengi pale mlienda kwa ajili ya zile posho mpendwa, hebu niambie ubatizo wote ule wa mvua duh!!!


Akhaaa mwenzngu tulienda kuserebuka japo viposho ni chachu.

Mwanamke hoyeeeeeee
 
Na tisheti na kofia.

Halafu mnakutana na watu ambao mliachana chuo, rahaje?

Halafu matisheti quality mbayaaaa kweli vitu vya bure hasara...
Wapi takuwa j3...kama takuwa mujini Posta mimi taka tafuta wewe..
 
Halafu matisheti quality mbayaaaa kweli vitu vya bure hasara...
Wapi takuwa j3...kama takuwa mujini Posta mimi taka tafuta wewe..

Nitakutafuta unitoe lunch, qwi qwi qwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom