Happy father's day

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
Habari wadau
Leo ni kumbukizi ya wababa duniani nami nawatakia heri na fanaka katika kumbukizi hii especial dady wangu namlavu sana kwa kunilea na kunitunza mpaka niko hivi
Pia sitamsahau dady yetu wa jf Watu8 kwa kutupa maadili sisi watoto wake wote pacha wetu Passion Lady na Lady doctor, WiseLady , na kadogo ketu moses

salamu zimfikie Baba V , The Boss , Arushaone , Erickb52 , kiwatengu ,
Madame B , Mtambuzi , Mentor , Slave , Khantwe , Chachu Ombara (huyu ni laaziz wangu dady Watu8 tambua hilo), na sosoliso na wengineo wengu niliowasahau si mnajua uzee tena hahaaaaaaaa

Hapy-fathers-day-pic-with-tie.jpg


fathers-day-quotes-jim-valvano-1556636298.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom