Happy bithday Afrodenzi

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Happy birthday to You

Many Many Happy Returns of the Day

A lots of prayers and wished for you

For you coming Life and your future

may you
get Success and Comfort in your life

122069,xcitefun-birthday-comment-graphic-02.gif

Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa,
Ni siku yenye Baraka, furaha tele kujawa,
Furaha iso pimika, shukurani kuzitowa,
Heri Afrodenziii, sikuyo ya kuzaliwa.

Mwanaharakati wetu, utujuzaye maisha,
Wewe ni darasa kwetu, maarifa yaso kwisha,
Wafunza juu ya utu, mengi watuelimisha,
Napenda ucheshi wako na matani yaso kwisha

Afrodenzi usiyechoka, asubuhi na jioni,
Nyumbani kuwajibika, halafu na masomoni,
Kisha huachi andika, kutujuza kulikoni,
Heri Afrodenzii, sikuyo ya kuzaliwa.

Leo naishia hapa, sina lakuongeza jamvini,
Mola wetu atakupa, siku nyingi duniani,
Nasi hatutokutupa, asilani abadani
Heri Afrodenzii, sikuyo ya kuzaliwa.

avatar29954_13.gif
avatar29954_13.gif
 
hey!is ur day!many happy returns,,,blow more candles to fulfill ur dreams,,happy bday switygal
 
hebu uje useme bday yako ni kila baada ya miezi mingapi,,,lol!my memory is telling me was just recently
 
hebu uje useme bday yako ni kila baada ya miezi mingapi,,,lol!my memory is telling me was just recently

Kwahiyo huenda hii ikawa sio :twitch:, mi nilidhani wale tu waliozaliwa 29th february ndio wanakuwa wanabirthday after every four years..., kumbe kuna wengine wanaweza wakapata twice a year:thinking:
 
Wakukome mahasidi kwa lao jicho la chuki, kheri ikae na wewe furaha dumu daima, kila mwenye lake jambo afe nalo kifuani, karima mwenye uhai akujalie maisha.

si ni shairi sasa mnashangaa nini!!?
HAPPY BIRTHDAY MWANANGU LOVE U MWAA X4

Any way kuna ka nyimbo hapa kata keki tule x9 mpaka keki iliwe
 
Jamani nakumbuka in Dec tulisherehekea na tukanywa sana ktk birthday ya AD sasa hii nyingine imetokea wapi huh! lol! kama nimechanganya basi I am wishing you a beautiful birthday!:clap2:
 
Hope cjachelewa! Heri ya kuzaliwa baby girl Afro! Wish u many more years!
 
Afro Afro mwana wa Denzi..Leo siku yako maalumu mpenzi!Uwe na furaha itakayodumu miezi..Nakutakia kila lililo heri toka kwa mwenyenzi!Happy birthday dear!Be blessed..always!
 
Yaani hi birthday hata The Finest hajui! Ngoja nimshtue home boy wangu.
 
Afro Afro mwana wa Denzi..Leo siku yako maalumu mpenzi!Uwe na furaha itakayodumu miezi..Nakutakia kila lililo heri toka kwa mwenyenzi!Happy birthday dear!Be blessed..always!

Hii mistari haipo kwenye bongo fleva kweli?
 
Jamani nakumbuka in Dec tulisherehekea na tukanywa sana ktk birthday ya AD sasa hii nyingine imetokea wapi huh! lol! kama nimechanganya basi I am wishing you a beautiful birthday!:clap2:

bora umesema,,,nilidhani kumbukumbu zangu haziko sawa,tena sred ilirushwa na preta,,aje aseme huwa anaadhimisha kila bda ya muda gani,,lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom