...Happy birthday to MY ARABELA.........

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221

Habari ya uzima wako my wife Arabela,nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuiona tena siku ya leo,tarehe ya leo na mwezi wa leo ndio siku pekee ambayo MAMA yako kipenzi alikuleta duniani.

Alikaa nawe kwa miezi tisa kwa uvumilivu mkubwa na kukujali mpaka ulipokuja duniani tarehe kama ya leo.
Mimi nakutakia maisha marefu sana na ALLAH azidi kukujaza neema zake uendelee kuwa hai na mwenye afya njema uishi zaidi na zaidi.

happpppppy birthday ,.......to ......my Arabela......

​

.............hii ndio zawadi yangu ya siku ya leo uamkapo tu utaikuta mezani ikikusubiri

​

happy birthday to yu............happy birthday to yu..........happy birthday to yu......happy birthday to yu.....

happy birthday to yu.......happy birthday to yu......happy birthday to yu.......happy birthday to yu
......happy birthday to yu

happy birthday to yu.....happy birthday to yu.....happy birthday to yu
​

wooow jaman my hubby thanks in a million times. This means alot to me... Thnks for a cake i hope it tastes nyamnyam.. Lets celebrate this together. Mwaaaaah
 
Happy birthday Arabela ! happy birthday my dada ! Kila unapoifikia siku yako ya kuzaliwa ndivyo inavyo kusogeza katika siku ingine nzito,siku ambayo watu watalia na kusaga meno (vibogoyo haiwahusu) cha msingi tazama wapi ulipotoka, wapi ulipo, na wapi unaenda cha mno zaidi ni kuzidisha juhudi katika ibada muombe mungu akupe ulinzi wake na hata kesho ukakutane na ukiwa mweupe kama pamba.
 
Last edited by a moderator:

Happy bday baby.
Growing old is optional
But growing up is mandatory.
Blast it off gal!
 
Happy Birthday my most lovely shem Arabela.
Hivi Arushaone ana taarifa na tukio hili au naye atarusha thread yake, au labda wakati thread hii inarushwa tayari yeye yupo mitaa ya hapo SAHARE-MARYLAND!...ha ha haaaa!

Halafu mbona Arabela hukutuambia juzi juu ya habari hii, hujui kuwa Filipo huwa anatembea na keki kabisa kwenye Noah yake, tayari kwa matukio yoyote ya ghafla!
 
Last edited by a moderator:

ni kweli my kaka umenipa ujumbe mzito sana. Dah ni kweli ukifikiria kiundani. Ahsante sana kaka
 
Last edited by a moderator:
Arabela heri ya siku yako hii njema ya kukumbuka. Mungu akuongezee maisha marefu zaidi yenye afya na furaha. Uishi kuwasha mishumaa 1001 iliyojaa upendo na furaha.
Happy Birthday Arabela
 
Last edited by a moderator:

thanks my shem wa ukwee....yani sikujua kama Filipo ndo mambo yake hayo but that day was special for KOKUTONA.. Ila shema karibu keki
 
Last edited by a moderator:
Arabela heri ya siku yako hii njema ya kukumbuka. Mungu akuongezee maisha marefu zaidi yenye afya na furaha. Uishi kuwasha mishumaa 1001 iliyojaa upendo na furaha.
Happy Birthday Arabela

amina Mr Rocky am praying for that too. How are you lakin
 
Last edited by a moderator:
Niko salama kabisa Arabela namshukuru Mungu sana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…