Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
- Thread starter
-
- #61
Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa. Miaka 23 bado unajiona mtoto? Mimi mke wangu akiwa na mika 23 alikuwa tayari na watoto 2.
miaka 23 we ni mzee kabisa, inaonekan ume-resit sana mpaka kupata credit(hata kiingereza chako kinaonyesha hivyo). kwa miaka hiyo wenzako wakuwa wamemaliza third year.
Uko chuo first year,class1 ulianza lin mwee...unless km ulipata matatzo ,usirelax sana,soma na tafta maisha ckuiz 22 totoz tushamaliza vyuo(course ya 3 yrs) tupo tunatafta faranga...
Happy birthday..live long like madiba
I only reach 23 years!!!!!
Hicho chuo kitakuwa VETA lazima. Au vile vya International Advanced Diploma, Magomeni.
Nakumbuka nilimaliza chuo undergraduate nikiwa na 23 yrs old, na hapo mimi ni wa kiume..
Sasa mdada kuwa na 23 ndio anaanza first year na bado anajiona katoto haileti logic kabisa..
But tukiachana na hayo Happy Birthday mrembo, inapendeza ukitualika na cake pia tule wote,,
Epi besdei totoo....!!
nmekpm!! Unasoma chuo gan!?umeona eeeh wengine wana mawazo potofu tu
23 this time na upo First year?.....ulisoma Ngumbaru nini?...
Hata mimi huku sijakuelewa "ofe topic" unamaanisha nini?
HBD Miss Neddy
uishi maisha marefu.
hahahahahahahahaha hiyo hapana
nmekpm!! Unasoma chuo gan!?
Heri ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa...
Miaka 23 si haba binti na hongera kwawaliokutunza kwa kimo na maarifa...
Hongera kwa kuzaliwa mungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele, ila mamaako hajakosea wew bado ni kinda kwhyo jitahidi na masomo, mambo unayoyakuta chuoni achana nayo ni ya wakubwa, hao wanaofanya huko wanafuata mkumbo, kwhyo wew tulia usome..
niko cbe punguzeni wivu