Happy birthday to me Trudie

Leejay49 sikiliza wewe nakuambia wewe uliojichokea unajiona ni walishua kumbe chumba kimoja nakuignore nuksi ya jf
Em niambie kwanza nimekukosea nini mrembo??. Shida kukujulia hali??

Hata hivyo mzee wangu anataka aongeze mke wa pili karibu walau uone ushua unafananaje maana uko bitter sana na Watoto wa kishua sijui walikufanyaga nini maskiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Enwei Nisamehe mimi, nimekosa mimi , nimekosa sanaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Baelezee baambie baelewe πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ
 
Mzee mwenzangu hao wa elfu 2 kuwa nao makini

Mimi Sina hamu nao tangu watake kunipandisha kisukari na pressure at per

Tangu lini Mzee wa miaka 79 akaweza mbio ndefu kama Vijana πŸ€—
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mbio ndefu tuwaachie vijana wenzao, sisi tuwaalike kulamba asali na kuchezea sharubu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…