Happy birthday to me Trudie

Hongera Sana kwakuwa umefika ghorofa ya 3

Afya ya akili na mwili uvipe kipaumbile
Kula balance diet.
Punguza mtungi na ikiwa hautumii usitumie in ur lifetime
Sigara and weed abstain
Junk food ukiweza acha au punguza.

Pia sex control hapo sex kwa KE inawazeesha na kwa ME inaua.
 
Hakika Mkuu tumezeeka sasa

Miaka miwili iliyopita nilipojaribu kukimbia ili niendane sawa na Vijana nikajikuta nimeishia safari moja tu

Hata baada ya kuimbiwa na Mic ndiyo kwanza nikalala jumla πŸ˜œπŸ™Œ

Kweli tumezeeka πŸ€—
Hatari Sana Babu 😁😁😁
 
Sio mda mrefu tulikuwa tuaongea na jamaa zangu hapa, mtoto wa 2005 ana 30yrs. Life's too short.

Anyway, happy birthday to the author.
Asante sana mkuu. Ila wa 2005 sio anakuwa na 20 yrs au ndio nimezeeka mno πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Third floor ndo 40's sio?? Eeh umesonga Anya way
Heri ya siku ya kuzaliwa mungu akupe afya njema ulee na wajukuu zako
Asante sana mkuu, third floor ni 30's ingawa ndio tunakimbilia huko huko kwenye 40's kesho tuu
 
Asante sana kwa wishes na ushauri mkuu.....umepokelewa πŸ™πŸ™
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…