Kifo cha dogo mMoja kiliuma sana alienda mwanza kufanya KAZI ya kuuza duka kwa bro hivi wa kitaa chetu hapo geita, dogo alipo fika life lili change maisha mazuri sana, badae inasemekana aliacha, akaingia mtaa mawasiliano na ndugu yaka kataa, muda sana walipoenda kumsakia mwanza wakamkosa badae akapatikana akiwa amelala kibarazani na machokoraa kakonda kaisha, ndio kumbeba dogo alipigania sana uhai lakini ndio hivo too late mungu alipanga aondoke maumivu sio ya kawaida kaka, kwanini nisimshukuru mungu vita nilivo pigana nikisimulia hapa mtalia