Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,926
- 8,811
- Thread starter
- #41
Samahan mkuu, ila nafikiri tu nimazingira tuliokulia na kulelewa, nimekulia kwenye familia ya kisasa labda ndio sababu, najua maisha yamekuvuruga, pengine una madeni mengi na hujui utayalipa lini, tuliwahi kupata familia bila kujipanga pole ndio maisha, feel sorry kaka yangu,, kwa TAARIFA Yako nimetoka home years kibao now na najigharamia Kila kitu Moja mbili mi sio kijana now mi ni mwanaume, kama una Binti au dada nipatie mkuuBado ni mtoto hata hela ya boxer anapewa na mama kwanini asikumbuke siku ya kuzaliwa, wakati utafika hata hiyo mambo haipo labda watoto wake ndo watamkumbusha birthday zao