The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Hahahahah Losambo umenifanya nicheke sana asubuhi hii...asante mkuuNilitaka kushangaa Preta usiwe katika top ten ya waliowahi kujibu uzi huu!!!
Hata hivyo bado wengine watakuja kwa kasi ya kimbunga kuja kumpongeza TF kama akina AshaDii, Lizzy japokuwa sina hakika kama katoka lupango, Kongosho bila kumsahau Afrodance.
Mukuu Asprin mutu ya watu najua umeshamtakia TF happy birthday nijulishee mimi pedeshee wa nyanda za juu kusini nije na kila kitu inayotakiwa katika birthday.
TF longo longo zote kama sitasema HB nitakuwa sijakutendea haki. HB FT wa ukweli, enjoy your day.
Smile unajua huu mpira mimi naogopa presha ni bora hata twende Kunduchi Beach kwenye Go Kart tukaendeshe vile vigarikesho twende kucheki mechi ya simba na yanga baby nitalipa kiingilio....
Hahahaha!! Halafu kila mtu analalamika kuwa Dar kuna baridi sasa hivikwa sasa dar kuna baridi sana kipindi hiki so sipendi kwenda beach dear
kesho twende kucheki mechi ya simba na yanga baby nitalipa kiingilio....
wewe huoni ? au haupo dar? twende kwenye mechi bwanaaa...Hahahaha!! Halafu kila mtu analalamika kuwa Dar kuna baridi sasa hivi
naona tf ananibania twende wote tajiri....We yanga/simba?
Wakubwa wameahirisha hadi jumapili.
Mechi Jumapili Smilewewe huoni ? au haupo dar? twende kwenye mechi bwanaaa...
Asante mkuu ndetichiaHAPPY BIRTHDAY MZEE wa JE SACCOS..
Wishing you all the best in the year to come.
May your days be filled with sunshine and beautiful colors.
And may your nights be filled with comforting dreams and wishes to come.
THE FINEST.
Hahaha!! BAGAH...lol
Asante mkuu BAGAHe bana uwe na maisha marefu The Finest...